Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

Kuchelewa au kutotoa taarifa kunaweza kuwa hatari zaidi kwa usalama wa raia. Maana wapo watakaojiamini kuwa maabukizi yamepungua au katika eneo alilopo hakuna maambukizi. Ila update za mara kwa mara zitasaidia raia kujihami zaidi dhidi ya maambukizi ya covid 19
 
Haya ndiyo matokeo ya kupima zile sample" aliyetunga mitihani ndiye mwenye majibu,, asanteni kwa taarifa
 
Back
Top Bottom