Waziri Ummy: Serikali haitoi taarifa za COVID-19 kutokana na zoezi la uhakiki wa maabara ya Taifa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

AzamTV
Huyu mama akina ndasa wanamuangalia tu huko waliko!
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

AzamTV
Dada huyu sasa!
 
Hakuna mwandishi wa habari mwenye uwezo wa kuuliza, Jiulize kwa nini Zanzibar wametoa taarifa wakati bado wanatumia maabara hii hii ambayo inafanyiwa uchunguzi ?

Kama nakumbuka vizuri Jana BBC walisema kuwa Zanzibar walinunuliwa mashine ya kupima korona na mfanyabiashara ambaye hawakumtaja jina.
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema serikali haijatoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa wa Covid-19 nchini kwa wiki moja sasa kutokana na uwepo wa zoezi la uhakiki wa maabara ya taifa na uhakiki huo utakapokamilika, taarifa zitaendelea kutolewa.

AzamTV
U communist ni sheeda

Odhis *
 
Katikati ya vita, unamsimamisha kazi kamanda mkuu wa jeshi - unamwambia akae chini na mwingine achukue injini. .. wakati wote huo wa kufanya hii restructuring je adui yako atakuachia nafasi ujipange kwanza ili ukiwa tayari muanze vita tena?

Tanzania VS Covid -19

Dk ni ya 30 ya mchezo, Tanzania kashafanya Sub mbili, CoVID bado kakomaa... wacha tuone.

(Stay Home)
Fikiria mnawasimamisha kazi watu kwa hoja nyepesi inahuzunisha sana, hivyo vifaa kama mnaona avifai mnavyo vingine? Vifaa vya kupimia sampuli toka kwa binadamu mnaleta mawe,kokoto, si kutafuta ukorofi uko? Kwani mna matatizo gani, warudisheni watu kazini toeni taarifa, tabia yakupoteza muda kwa kujifanya mnahakiki inaturudisha nyuma sana, imeathiri malipo ya korosho, kuajiri, kupandisha watu madaraja n.k.
 
Back
Top Bottom