Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,492
- 8,537
Kuna mbunge aliwahi kutoa hoja uwepo wa chuo cha wizo/ubadhirifu... nilimuelewa sana!Uwezo wa viongozi wetu kukabiliana na uharibifu/wizi unachekesha sana.
Kuna mbunge aliwahi kutoa hoja uwepo wa chuo cha wizo/ubadhirifu... nilimuelewa sana!Uwezo wa viongozi wetu kukabiliana na uharibifu/wizi unachekesha sana.
Ni kula kwa urefu wa kamba tu
Kachemka pakubwa sanaMSD yenyewe haina dawa za kupeleka mahospitalini, je ukikataza maduka yasiwepo jirani unawatakia mema wagonjwa wetu? Huyu Ummy ni Waziri wankutaka KIKI kama wasanii
Hiyo solution ya Ummy Mwalimu haiwezi kuongeza upatikanaji wa dawa mahospitalini. Kwanza angetupa ushahidi wa dawa na vifaa tiba vya Serikali alivyovikuta kwenye hizo pharmacy zikizopo 500 metres
Huyu waziri kweli anafanya kazi vizuri , haje haone hoja za wafamasia vs doctors, famasi kuwa mita mia haina shida mteja anaweza ifuata lingana na mahitaji yake ,waziri shughulika na Mambo ya msingi kwanzaLeo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima wanakwenda kuyaondo.
Waziri Ummy amehoji: "Hospitali dawa hakuna, kwanini maduka ya nje dawa zipo? Haikubaliki"
NUKUU
“Ninatuma salamu maduka yote ya dawa lazima yawe mita 500 kutoka ndani ya hospitali, tunakwenda kuyaondoa ifikapo Julai Mosi mwaka huu tulishatoa muda wa kutosha kufikia Juni 30 yawe yameondoka.
“Wamiliki wanafanya kinyume cha sheria nipo na mfamasia Mkuu wa serikali hapa, tulitunga na tulipitisha kanuni maduka yote yawe mita 500 kutoka hospitalini nikaambiwa waziri kuna wengine walipewa leseni kabla, hivyo tumebakisha miezi mitano hakuna cha msalie mtume wala kuomba radhi,”
''Mwananchi anakosaje dawa? Suala hili ni la pande mbili MSD na hospitali na nilishatoa maagizo. Uwepo wa haya maduka yanachangia udokozi wa dawa na yanaondoa imani kwa wananchi kwamba angalau kuna usimamizi mzuri wa dawa vituoni,”
Pia soma
- Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli? (Nov 14, 2015)
- Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa (Jan 11, 2022)
- Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku (Nov 13, 2015)
View attachment 2094049
View attachment 2095217
Huyu waziri kweli anafanya kazi vizuri , haje haone hoja za wafamasia vs doctors, famasi kuwa mita mia haina shida mteja anaweza ifuata lingana na mahitaji yake ,waziri shughulika na Mambo ya msingi kwanza
Mungu ibariki JFLeo, Waziri Ummy Mwalimu amesema Maduka yote ya dawa nje ya hospitali yanatakiwa kuwa umbali wa mita 500. Amesema Sheria hii aliipitisha yeye kabla sijaondoka Wizarani na kuongeza kuwa Maduka yaliyo ndani ya Mita 500 ndani ya Hospitali Nchi nzima wanakwenda kuyaondo.
Waziri Ummy amehoji: "Hospitali dawa hakuna, kwanini maduka ya nje dawa zipo? Haikubaliki"
NUKUU
“Ninatuma salamu maduka yote ya dawa lazima yawe mita 500 kutoka ndani ya hospitali, tunakwenda kuyaondoa ifikapo Julai Mosi mwaka huu tulishatoa muda wa kutosha kufikia Juni 30 yawe yameondoka.
“Wamiliki wanafanya kinyume cha sheria nipo na mfamasia Mkuu wa serikali hapa, tulitunga na tulipitisha kanuni maduka yote yawe mita 500 kutoka hospitalini nikaambiwa waziri kuna wengine walipewa leseni kabla, hivyo tumebakisha miezi mitano hakuna cha msalie mtume wala kuomba radhi,”
''Mwananchi anakosaje dawa? Suala hili ni la pande mbili MSD na hospitali na nilishatoa maagizo. Uwepo wa haya maduka yanachangia udokozi wa dawa na yanaondoa imani kwa wananchi kwamba angalau kuna usimamizi mzuri wa dawa vituoni,”
Pia soma
- Mnaopinga uondoaji wa maduka ya dawa maeneo ya hospitali mnaujua ukweli? (Nov 14, 2015)
- Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa (Jan 11, 2022)
- Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku (Nov 13, 2015)
View attachment 2094049
View attachment 2095217
Mkuu nchii hii imegeuka Shamba la bibi hasa ukiona mfamasia Sasa anashupaza shingo kana kwamba yeye ndo kila kitu KWa mgonjwa kisa tu kapitia pale ,Mungu ibariki JF