Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,541
Ni kwamba anaipa ushauri CHADEMA ama?
Duh!Huyu Muhongo kumbe naye mwizi tu na mtapeli wa kisiasa?Mbona walimsifia sana humu kwamba eti si mwanasiasa?Karibia niingie mkenge ati! Kongosho i blame you kwani niliamini kwamba huyu si mtu wa "mambo jambo",kumbe naye mtapta tu!
UMEME UMEKATIKA wajamen
Duh!Huyu Muhongo kumbe naye mwizi tu na mtapeli wa kisiasa?Mbona walimsifia sana humu kwamba eti si mwanasiasa?Karibia niingie mkenge ati! Kongosho i blame you kwani niliamini kwamba huyu si mtu wa "mambo jambo",kumbe naye mtapta tu!
Ulimsikiliza jana??
Alieleza mengi mazuri, ila komenti ya peoples power inavuruga hata mie sikumwelewa.
Hujaiweka alivyosema yeye kasema people's power inachochea vurugu .......kasema juzi alikubaliana na ndugu zake watanzania wa Moshi kuhusu people's power vs aliyosema, hajui kuwa bila people's power leo asingekuwa waziri na badala yake angeendelea kugombania kiwanja kati ya yeye kama kiongozi wa kanisa la Mennonite na Nimrod Mkono , .......kule musoma ....
People's power itamtaka siku moja aeleze alipokuwa chief geologist wa nchi hii ramani alizompa Jimmy Sinclair zilikuwa na faida gani kwa taifa....
Anajua kuna siku people's power itamtaka aeleze faida tunayopata kutokana na sera ya gesi na mafuta ambayo imekopwa na imeandaliwa na wataalam (consultants ) wa makampuni ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta na gesi kutoka Uk, usa nk.......atapaswa kuwa na majibu......
Kuna siku people's power itamtaka majibu i kwanini IPTL inauzwa bei poa kwa kampuni moja la mafuta .....ili liendelee kuuzia Tanesco umeme wakati pendekezo la awali lilikuwa mitambo hiyo inunuliwe na serikali ili kupunguza gharama za umeme .......
Ndio maana anataka people's power iepukwe......