Waziri Simbachawene, nadhani umeshapata jibu kuwa Jeshi la Polisi siyo "dumping site" ya" failures"

Ukiona shahidi anaanza kwa CV ya kuunga unga masaa mawili jua hamna kitu hapo anasema alienda kusomea Botswana sijui wala hata asemi ilikua level gani au cheti gani ujanja ujanja tuu...
 
Sikio la kufa hawezi kuelewa. Ajira za polisi zinatolewa kama huruma kwa waliofeli ili baadae wawatumie watakavyo.
 
Ufinyu wao wa akili ndio unaofanya wakubali kutumiwa kwenye kazi za shetani mwishowe wanaaibika kwa ujinga wao.
Kwa mujibu wa katiba chakavu,jukumu la police ni kutii maagizo toka juu usipotii outpost porini au nje ya mji kuna kuhusu au kupigwa chini job.
 
Msamiati huo afrika haupo.
Hakuna kujiuzulu labda ufukuzwe.
Na kama unaitendea haki ccm sahau kufukuzwa

Nakubaliana nawe mkuu ila mwishoni kulikuwa na ushauri wa bure kuwahi yeye mwenyewe mirembe😁😁
 
Back
Top Bottom