Waziri Simbachawene awasimamisha kazi Wakurugenzi wa Halmashauri wanaodaiwa kuhonga wapate Hati Safi

Mkuu Ta Muganyizi, ina maana huyu aliyemteua Simbachawene hakujua juu ya hili dili au alifunga macho? Sasa waziri huyu anapata wapi nguvu ya kutuhumu na kuwasimasha wanaofanana naye kwa tabia na matendo? Je, atathubutu kumtumbua?
mkuu hawa wANaigiza2.we umeona wapi mtu anasimamishwa na ushahidi upo....
kwanini asifukuizwe kaz drect..na ushahidi upo.......
 
inatakiwa wakishasimishwa,uchunguzi ukikamiliza watafute vyombo vya habari pia watupe feedback,mana inawezekana serikali inashindwa kazi yenyewe then inakurupuka kusimamishwa watu watu-wawe na utamaduni wa kutupa feedback uchunguzi umeleta majibu gani na wao wameamua nini
mkuu watu wanarudishwa jkazn kimya kimya...au hujui hilo???
 
please pitia hii..ujue hii drama ya simbachawene.copied from
Ta Muganyizi



Kuna habari ya Jipu la mafuta ambalo Mhusika alikuwa Simbachawene imepotea:-

Ndugu Watanzania mnaoumia na bei kubwa ya mafuta huku bei ya soko la dunia ikishuka.

Naona The Citizen wanaonyesha kwa nini bei za mafuta hazishuki, serikali inafumbia macho ujambazi uliofanywa na PICL kwa kushirikiana na Waziri wa Nishati wa wakati huo (sasa hivi kapewa wizara nyingine).

Kama JPM anataka kutumbua majipu, atumbue waliotumbua hizi pesa. Ni zaidi ya Bilioni 40 sio 20 tu. 20B ilikuwa ni tenda ya kwanza ya September. Ya October 16B, ya November 15BN.

The Citizen wanazo data, EWURA wanazo data.

Mwenyekiti wa Bodi wa PICL (Naibu Kamishina wa Energy Bw. James Andilile)alifukuzwa soon baada ya kuwandikia barua Waziri kupinga kugawa tenda za mafuta kwa njia ya kujiamulia umpendaye na pia kumwandikia barua Meneja Mkuu ajieleze kwa nini hakuheshimu maagizo ya Bodi kuwa zabuni ifuatwe?

Mjumbe wa Bodi kutoka Kampuni ya PUMA alimwandikia Waziri huyo kutokukubaliana na uamuzi wa kupindisha sharia

Mjimbe wa Bodi kutoka kampuni ya GAPCO Tanzania alijitoa kwenye bodi kupinga kitendo hiki cha Waziri na Meneja Mkuu wa PICL kujifanyia uamuzi wa kugawa zabuni kinyume na matakwa ya sheria. Huyu ni mhindi kwa rangi na utaifa, anauchungu na wantanzania kuliko sisi watanzania. Sector ya mafuta ni JIPU

Tutashangaa kama Waziri Mkuu ataishia WMA na TPA akamwacha Waziri aliyehusika.

Nusa nusa inaeleza kuwa pesa iligawiwa GENEVA-USWISI. Kama ni uongo, passport zao zichunguzwe, mmoja ambaye alikwenda kupokea pesa atabainika. hatumtaji sasa.

GAZETI LA CITIZEN Monday, February 15, 2016
High fuel prices raises brows

petrol+pic.jpg

MPs want to know why fuel prices have remained “stubbornly high” in the country despite the introduction of a bulk procurement system and the sharp fall in the global market.

In Summary
The Parliamentary Energy and Minerals Committee last week summoned the management of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) to clarify on several issues, including why local retail prices don’t reflect record low in the world market.


Dar es Salaam. MPs are questioning Tanzania’s high fuel prices amid allegations that irregularities in procurement between September and November last year are to blame for the bad situation.

The Parliamentary Energy and Minerals Committee last week summoned the management of the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) to clarify on several issues, including why local retail prices don’t reflect record low in the world market.

It emerged in the meeting that MPs wanted to know why fuel prices have remained “stubbornly high” in the country despite the introduction of a bulk procurement system and the sharp fall in the global market.

As the discussion went on, it was stated that the move by the government to skip normal competitive tendering process and going for a handpicked supplier for the months of September, October and November last year is mostly to blame for the current prices.

By avoiding the tendering process and making supply contracts thought negotiation, the government lost over Sh20 billion.

The Shipping and Supply Contract with Augusta Energy SA signed on July 29 last year by the Petroleum Importation Co-ordinator (PIC) under the Bulky Procurement System (BPS), puts the weighted average premium at a record $64.911 per metric tonne of petroleum products.

That was $20.596 more than the weighted average premium of $44.315 per tonne that was agreed by PIC and Augusta in the previous Shipping and Supply Contract July 3 last year.

The fuel tender in the three months that are blamed for constant high fuel prices was the highest in the two-year history of the bulk-procurement system. The last premiums were $44.3, $48.8 and $34.15 per metric tonne.

It was not then made clear why and who steered the move to skip the tendering process for the months ahead of elections but sources say there is no way one can disassociate the current fuel price and the irregularity in procurement.

Sources have confided that the current stock of fuel in the market is part of the consignment imported during the month of October.

“The fall in prices is delayed because the normal procurement process was delayed. There would have been a relief of over Sh100 in price for fuel,” said an MP who attended the meeting and asked not to be named.

“Many MPs questioned the issue of fuel prices but I have evidence that the situation came as the result of violation of tendering procedure,” the MP said.

It is thought that if the importation of fuel through bulk procurement system in the three months were carried out through normal tendering process, the country could have benefited by relief of premiums totalling $19.8 million.

The relief would have automatically translated to a fall of the pump price for diesel, petroleum and kerosene by over Sh100.


Who’s behind the violations

Reached for comments, Ewura communication manager Titus Kaguo said he was aware fuel procurement for September, October and November was done through negotiations and not tendering process as it used to be.

“It is true that bulk procurement for September, October and November didn’t follow tendering process but you should contact PICL because it is the one which is responsible,” said Kaguo over a telephone interview.

Yesterday, PICL General Manager Michael Mjinja denied any irregularities in awarding the tender to the three companies in Sept, Oct and Dec. Mr Mjinja couldn’t go into details but promised to do so today.

“I can’t go into much detail now; come to my office tomorrow (today).” if you want to get the details,” said Mr Mjinja over the telephone interview with The Citizen.

The bulk procurement system used by Ewura has provided significant benefits to the country, including lowering prices and an improvement in tax collection from petroleum products.

The system, which was introduced in the country mid-2012 brought about other benefits including significant reduction of fuel prices, increased compliance and transparency in the fuel sub-sector as well as easing of congestion at the Dar es Salaam Port.

Statistics show that two years after the introduction of the system, Tanzania saved over Sh120 billion shillings which would have been spent on expenses such as demurrage costs due to ships staying too long at the port.
hizi drama za viongoz wetu zinafurahisha sana........
 
Bado hawa wa Dar wanaoruhusu vibaka kukusanya parking fee mpaka huku kwenye makazi ya watu. Hili jipu limeiva. Mtu hana hata kitambulisho anakusanyaje parking fee. Ni kiasi gani cha makusanyo haya kinaenda manispaa?
 
Ivi hii nchi inamatatizo gani, waziri anasema ooh wametoa rushwa ya mill 3 wengine sijui ya shingapi sasa najiuliza kwenye hii nchi mtu akipokea rushwa au akitoa rushwa kwanini asifikishwe mahakamani wakati vithibitisho vipo? Yale yale ya msoga kuwapa holiday ya kutumia hizo rushwa walizopokea
Kama unafuatilia vizuri matukio usingeliuliza swali hili, hao takururu ndio waliokuwa wanatumika kuwasafisha wala rushwa, lowassa, chenge nk nk, sasa unafikiri wana uwezo wa kumshtaki mtu yoyote, ndio maana rais alibadilisha mkuu wao, na juzi waziri kasema nao maana wanajua nao Ni wapigaji tuu. Hizo ni kesi za zamani ambazo kipindi cha JK zilikuwa zinafumbiwa macho, subiri report ya CAG safari hii itaenda na wengi
 
HII NDIO RAHA YA KUSUBIRI KUTEUA WATU WANACHUNGUZWA UNAWAONDOA KWANZA ALAFU UKIFANYA UTEUZI MAKAPIYAMEONDOKA...

TARAJIENI KUONDOLEWA KURG HALMASHAURI NYINGI TU
 
Corruption imetepakaa sana na ni tatizo kubwa hila kuna watu si wa kucheleweshewa hukumu kabisa kundi moja wapo ni wataalamu kutoka ofisi ya CAG au taasisi nyingine yeyote ya serikari inayofanya external audit.

Iwapo hawa wataalamu walio mstari wa mbele kwenye kupambana kusaidia kuhakikisha hela ya serikari inatumika sahihi na makusanyo yanarekodiwa sahihi: sasa tena kama kundi hili nalo wapo tayari kuficha uchafu chini ya carpet wanaoukutana nao kwa maslahi yao binafsi hii ngoma inaweza kuwa ngumu sana kuna watu lazima wawe mifano badala ya kusimamishana kazi wengine walau waingie jela tu ata kama kwa mtindo wa scapegoat kuliko kusubiri kesi za muda mrefu zenye uchunguzi usioisha.
 
simbachawene-jpg.323753


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi wa Halmashari nne nchini kwa tuhumiwa za kutoa rushwa kwa maofisa wa ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ili kubatilisha hati chafu zilizopata halmashauri zao.

Wakurugenzi hao ni wa Halmashauri ya Manispaa ya Misenyi Kagera Elizabeth Kitundu, Halmashauri ya Nanyumbu Mtwara Mohamed Kesenge, wa Halmashauri ya Kilolo Iringa Luckson Pia na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbogwe mkoani Geita Abdalla Mfaume.

Wakati huo huo Simbachawene amemvua madaraka mkurugezi wa mji wa Tunduma Halima Mpita na kuagiza mamlaka zimsimamishe kazi kupisha uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka ikiwa ni pamoja na kuwatumia watoto wake katika shuguli za Halmashauri na kuwalipa posho na kusababisha upotevu wa mapato.
=================
Wakurugenzi wamesimamishwa baada ya kuthibitika wametoa rushwa, je watumishi wa ofisi ya CAG waliopokea hiyo rushwa na kutoa hati safi? Au ndiyo hao hao waliowachoma hao Wakurugenzi. Kama walikula mlungula nao pia wapate haki yao. Vijana wa ofisi ya CAG ni kati ya wala rushwa wakubwa kwani imethibitika kuwa wakati wa ukaguzi wanachukua rushwa ili kutoa hati safi kwa Halmashauri.
 
Jipu linatumpua jibu lenzake!!
HAPA KAZI TU#
Hapo imepigwa sanaa tu, wanatumbua jipu halafu wanarudishwa kinyemela. Kule Mwanza manispaa ya Ilemela mkurugenzi alisimamishwa kwa ubadhilifu na tukaona breaking news StarTv. Jamaa akakaa wiki moja nyumbani Simbachawene akamrudisha kinyemelea akamwambia "maintain low profile kwanza"
Bahati mbaya jamaa akawazima mgambo posho zao za kusimamia mitihani ya kidato cha nne, mgambo wakaandamana na habari ikatoka ITV. Watu tukashangaa eeehh huyu karudishwa lini? Mbona alipoondolewa mlitangaza kwa waandishi wa habari halafu kurudi kimya kimya!?

Hata hao wanne baada ya wiki mbili either utawakuta Tamisemi kama Dr Feisal Issa au watarudi kupiga kazi. Chezea gumashi za Simbachawene
 
OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema imebaini baadhi ya wakurugenzi watendaji na watendaji katika Manispaa nne, kutoa rushwa kwa maofisa wa Ofisi ya Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), kuficha kasoro walizozibaini na kubadili hati chafu kuwa safi.

Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Halima Mpita amevuliwa madaraka yake kutokana na matumizi mabaya ya madaraka na upotevu wa fedha za ushuru wa magari.

Akizungumza jana Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene alisema madudu hayo, ameyabaini baada ya kufanya ukaguzi wa kina.

“Tumebaini baadhi ya watumishi katika halmashauri zetu ambao wamekuwa wakitoa rushwa kwa maofisa wa CAG ili kushawishi wakaguzi kuficha kasoro walizoziona au waandikiwe hati safi pamoja na kuwa na kasoro nyingi. Ripoti hizi zimekuwa zikipelekwa bungeni na kujadiliwa wakati sio halisi,” alisema Simbachawene.

Misenyi mkoani Kagera

Simbachawene alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Misenyi, Elizabeth Kitundu alimwagiza Mweka Hazina wake, Majaliwa Bikwaso kutoa Sh milioni tatu kwa maofisa wa CAG kwa nia ya kuwalainisha ili wafiche kasoro walizozibaini.

Aliwataja maofisa hao wa CAG w a l i o p e w a fedha hizo kuwa ni Steven Guwawa, John Elias na Kilembi Mkole.
 
mkuu watu wanarudishwa jkazn kimya kimya...au hujui hilo???
Usanii mtupu. Mfano halisi ni mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela John Wanga,,, ukienda pale leo utamkuta amekaa kwenye kiti chake cha kuzunguka wakati juzi tu hapa tuliambiwa amesimamisha na watu walienda kumchunguza tuhuma na ripoti wameweka mfukoni
 
Tazizo la hizi movies zao huwa zinaishia kwenye trela wanapaswa pia wachuliwe hatua za kisheria. maana wakishapata coverage kwenye midia then kimya, binafsi huwa sielewagi!
 
simbachawene-jpg.323753


Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania TAMISEMI Mhe. George Simbachawene amewasimamisha kazi wakurugenzi wa Halmashari nne nchini kwa tuhumiwa za kutoa rushwa kwa maofisa wa ofisi ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ili kubatilisha hati chafu zilizopata halmashauri zao.

Wakurugenzi hao ni wa Halmashauri ya Manispaa ya Misenyi Kagera Elizabeth Kitundu, Halmashauri ya Nanyumbu Mtwara Mohamed Kesenge, wa Halmashauri ya Kilolo Iringa Luckson Pia na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbogwe mkoani Geita Abdalla Mfaume.

Wakati huo huo Simbachawene amemvua madaraka mkurugezi wa mji wa Tunduma Halima Mpita na kuagiza mamlaka zimsimamishe kazi kupisha uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka ikiwa ni pamoja na kuwatumia watoto wake katika shuguli za Halmashauri na kuwalipa posho na kusababisha upotevu wa mapato.
=================


HAYA MAIGIZO HAYANA MUDA MREFU KARIBU YATAFIKIA MWISHO!!!
 
Back
Top Bottom