Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

wanatukebehi sana hawa.awali walisema 185 billion mara leo wanasema 95 billion...it seems to be a dirty deal!!
 
Hiyo ndiyo serikali yetu na rais wetu ni mheshimiwa Dr J.M.K kila waziri ana majibu yake, tena wanasema kwa sasa tupo safarini ila akirudi ofisini tayari anakuwa na majibu mengine, mwisho wa siku utasikia tayari wameshalipa na hata ikiwekwa kwa bajeti watapiga kelele sana ila mwishoni wataunga mkono mambo yanaendelea kipindi cha bunge kinaisha wanarudi mitaani,kinafika kingine inakuwa hivyo hivyo

Amani haipatikani tu lazima itafutwe kwa nguvu zote na juhudi zote
 
Hivi kumbe kunatofauti ya Hazina, Wizara ya Nishati na Tanesco? Kumbe havipo ktk Serikali ya TaAnzania? Nilikuwa sijui, Mkulo sijui kama kanifungua au kanifunga macho!
 
kisheria kampuni ya uwekezaji lazima iwe na Director Mtanzania . Ni nani ? Kama sio JK
Mpigie simu huyu labda atakujibu
Mr Guy Arthur Picard
Dowans Tanzania Ltd
Morogoro Rd Dar es Salaam
255-756-606042
 
Hapa naona kuna mtu nafasi yake iko mashakani,

Kama vile Waziri Ngeleja amekalia kuti kavu?

Kuti kavu wanakalia wateule wa JK...Ngeleja ni chagu la Rostam,hawezi kutoka..
 
Viongozi wa hii nchi siwaelewi kabisa...Kila mtu anatoka kutoka kwenye engo yake..wengine tutalipa,wengine hatutalipa.Kazi kweli kweli...
 
Hapo ndio unapoona taaluma ya mtu ina walakini. Huyu Mkulo nina mashaka nae sana kama anajua kinachoendelea wizarani. Atasemaje wizara ya fedha haihusiki wakati Wizara ya fedha ndio inaandaa fedha na budget ya nchi. Na Budget ya nchi inajumuisha budget za wizara zote ikiwemo wizara ya nishati. Na budget ya wizara ya nishati inajumuisha mashirika ya umma likiwamo Tanesco..... I am lost!!!!! Kweli sasa serikali ya Tanzania inatufanya watanzania wajinga......
 
Mkulo hana lolote hawezi kutofautiana na boss wake JK ambaye ni mmoja wa wamiliki wa Dowans!! Hawa watu wanania moja tu ya kujilipa kodi zetu bila huruma!!
 
Kama vile wimbo ni mmoja lakini waimbaji wana viitikio tofauti! Kila kiongozi anasema la kwake.

Tusishangae katika hili kwa viongozi wa serikali kila mtu kusema lake. Werema anasema tutalipa, Ngeleja anasema tutalipa na Mkullo anasema Hazina haitalipa. Sitta anasema suala hilo bado halijajadiliwa na Cabinet. Serikali moja, kauli tofauti. Yale yale ya katiba kila mtu serikalini anasema lake. Hii ni uncoordinated goverment na ninashangaa JK hayaoni mapungufu haya. Yeye yuko busy na totoz tu!!!!. Nashangaa Ngeleja nguvu za kutangaza kulipa kabla cabinet haijakaa na kulitolea maamuzi suala hili zito amezitoa wapi? Hili si suala la tu waziri kutoa uamuzi wa kulipa, linapashwa kutolewa uamuzi na serikali as a whole na lazima mawaziri wote wahusike kutoa uamuzi. TANESCO haiwezi kulipa deni hili kwani tenda na process nzima ya kuipa Richmond tender iliendeshwa na serikali baada ya wataalamu wa TANESCO (tender board) kuikataa Richmond kwamba haikuwa na vigezo wala uwezo wa kuzalisha umeme uliotakiwa!!! Hivyo kama ni kulipa, serikali (Hazina) ndio itabidi ilipe. Kauli ya Mkulo kwamba Hazina haitalipa ni danganya toto tu.

Masikini Watanzania, vikodi vyetu ambavyo vingeweza kusaidia kuiendeleza nchi, vitaishia mikononi mwa kina RA, Lowassa na Karamagi!!! Hivi hawa watu uwa hawaoni aibu?

Tiba
 
Wakuu i am just curious labda watu wa hazina na wabunge mnaweza kutueleza

Hela za kuwalipa Dowans zitatika wapi? Bunge limeidhnisha matumizi kama hayo? How come tunakuwa na hela hizo halafu tunasibdwa kuwa na bilioni moja ya kutoka kwa hospitali au shule, au kuboresha maisha ya polisi na walimu?

My question may sound childish, lakini ukweli haingii akilini.

Kwanini waliosaini mkataba na Dowans hawawekwei wazi na watwambie walitumia kigezo gani kusaini mkataba uliotuingiza mkenge???
 
Kama Mkulo kasema hivyo namshangaa sana, eti Hazina haina hizo pesa .. mbona tayari zimeshawekwa kwenye bei ya umeme na wananchi wameshaanza kulipa? Nchi ina usanii hii!!!
 
So what, asitufanya wajinga woote. Akawadanganye kilosa huko. Kwani Tanesko na wizara wakisema hawana hela nani atatoa kama sio hazina?

Na hata kama wizara inazo hizo fedha - bado zimetoka Treasury. Kauli yake haina mantiki.
 
Meanwhile, former National Assembly Speaker Samuel Sitta, who now is the East African Cooperation minister, said the decision to pay Dowans had not gone through the Cabinet.

Mr Sitta said he would seek an explanation over the matter when the Cabinet convenes, adding that there were some unanswered questions.*

Mr Sitta, who was the Speaker when a parliamentary committee investigated Dowans’ predecessor, Richmond Development Company, over the $172 million emergency power supply scandal, said it was “painful” to pay the amount.

The minister said he believed Mr Ngeleja and Attorney General Frederick Werema would have something to tell the Cabinet since all the announcements they were making had not been discussed by ministers.
“They will have to tell us…t is very serious. We have not discussed the matter collectively and made a decision to pay up,” he said, adding that he was commenting as a responsible citizen, knowing the issue was outside his docket.

Hivi huyu Ngeleja anawezaje kuzungumzia malipo haya hata Cabinet haina taarifa......................Huu ni ushahidi wa ya kuwa ngeleja na JK lao moja vinginevyo Ngeleja asingepata hiki kiburi cha kuliingiza taifa mkenge......................
 
Waziri wa nishati na madini William Ngeleja amesema serikali imeridhia Kuilipa kampuni ya Kuzalisha umeme wa gesi Dowans Tanzania tsh 95 bilion baada ya kufanya marekebisho ya madai tofauti na pesa walizokua wanadai... pia amewataja wamiliki wa Dowans kama ni Dowans costarica and spartek ya Singapore....

Source: Capital redio news saa 12:00 jioni

UPDATES:

Kutoka Tanzania Daima

===============
Serikali yasalimu amri Dowans

• Ngeleja atangaza rasmi kulipa mabilioni ya fidia

na Betty Kangonga

HATIMAYE serikali imetangaza rasmi uamuzi wa kuridhia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuilipa fidia ya shilingi bilioni 94 Kampuni ya Dowans Holdings.



Ngeleja alitumia mkutano huo kuwataja wamiliki wa Dowans baada ya kupata taarifa kutoka Brela kwa barua yenye kumb. namba MITM/RC/58550/22 ya Januari 5, mwaka huu ambao ni Dowans Holdings S.A, yenye hisa 81 ya Costa Rica na Portek System and Equipment PTE Limited hisa 54 ya Singapore.


Alisema wakurugenzi wa Dowans wa hapa nchini ni Andrew James Tice (Canadian), Gopalakrishnan Balachandran (Indian), Hon Sung Woo (Singapore), Guy Arthur Picard (Canadian), Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi (Oman) na Stanley Munai (Kenyan).


Wakati Ngeleja akitaja majina hayo, wiki moja iliyopita Tanzania Daima ilikwisha kuwataja wanaomiliki kampuni hiyo.


Alisema hakuna sheria inayowataka wawekezaji wakitaka kuanzisha kampuni nchini ni lazima awepo mbia wa ndani, wanaweza kuanzisha wenyewe ikiwa wamefuata taratibu na sheria za nchi.

Hii nchi inashangaza sana ni chakachua au vipi?Katika gazeti la Nipashe inadaiwa Rostam ndio mmiliki

Tanesco ililia na Rostam
Na Waandishi wetu
8th January 2011

Taarifa sasa zimevuja juu ya aina ya utetezi ya uliowasilishwa na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kwenye kesi dhidi ya Dowans Tanzania Limited katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi (ICC), ambako imeamriwa kulipa mabilioni ya shilingi kwa kuvunja mkataba wa kuzalisha umeme wa dharura.

Katika utetezi wake ambao NIPASHE imeuona, Tanesco mbali ya kujenga hoja mbalimbali, iliamua kulia na Mbunge wa Igunga, ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz, kuwa ndiye hasa Dowans.

Tanesco katika utetezi wake ilidai kuwa Dowans haijasajiliwa Costa Rica kama ilivyodai, ila mradi ni unaomilikiwa au kuendeshwa au kuhusishwa na Rostam.

Tanesco pia ilishuku barua za utambulisho wa Dowans, moja ikiwa imeandikiwa Desemba 8, 2006 na nyingine Desemba 18, 2006, zikiitambulisha kama kampuni yenye hadhi na ikiwa inatambuliwa na walau benki mbili maarufu duniani, ikiwamo Royal Bank ya Canada na CRDB ya Tanzania.

Utetezi huo wa Tanesco pamoja na mwingine, vilitupiliwa mbali na ICC na hivyo kuipa ushindi Dowans katika shauri hili ambalo liliwasilishwa kwake baada ya kuvunjwa kwa mkataba iliourithi kutoka Richmond Development Corporation.

Imeandikwa na Rapahel Kibiriti, Beatrice Shayo na Careen Cyprian.


CHANZO: NIPASHE
 
Hivi ni lini Raisi anatoa tamko kuhusu suala zito katika hii nchi? Kwa wenzetu mambo mazito kama haya lazima raisi atoe msimamo wake yeye binafsi na sio kupitia wafanyakazi wa serikali! Ukimya wake unashangaza sana! Hatuna hela za kuwalipa wakandarasi (700+ billion) bado tunalipa madeni ya kujitakia!! Wanafunzi wanagoma kwa kukosa mikopo lakini madeni lazima tulipe! Pesa zitatafutwa na zitapatikana lakini za kuwakopesha (sio kuwapa) wanafunzi hatuna!! Hii ni aibu kwetu sote! Tunajivunia amani na utulivu, mbuga na madini!
 
Huyu jamaa Picard ni ngumu kidogo kumpata lakini naomba niwasilishe njia rahisi ya kumpata. Kama tulivyoambiwa Dowans inaonekana ina uhusiano na Porteks na Royal Bank of Canada, kwa hiyo ni kiasi cha kutafuta katika institution hizi mbili majina haya.. na loh and behold! Nimepata jina la Picard ingawa ni ROBERT Arthur Picard... so it remains uncofirmed but highly probable that we are talking about this individual...
Nawasilisha na bado ninaendelea na utafiti...


The Carlyle Group ?! You just send chills into my spine!
 
GT!
Ona hii toka ktk inbox ya blackbery yangu.natafuta source kwa aliyenitumia

This is Dowans HQ in Costa Rica - (Pictures)

Hi everyone; I'm back, wounded and limping but still kicking LOL. Numerous trips I have made since I reported to you about the then pending ITV saga. With some of my "little ones" we were able to travel extensively through Europe, US and Costa Rica as well as making some contacts in Singapore. What we have discovered is nothing less than shocking!

I visited the so called Headquarters of Dowans S.A in Costa Rica and had access to relevant organs that deal with businesses there. Some of the things we were able to raise with the Costa Rican gvt and the US gvt were addressed in the meeting in London when the major economic powers addressed the current economic crisis. If you can recall, Costa Rica was named as one of the countries that unless they change their legal framework concerning offshore accounts they will be blacklisted. We are glad as we left the Costa Rican gvt decided to change some of the laws and regulations. We are eternally grateful to those people who made the trip worthy taking and fruitful.

We learned a number of things about Dowans:

a. If It was registered in Costa Rica then simply as a briefcase company. Due to the legal and procedural laxity that existed then in Costa Rica it was very easy for some shady businessmen to appoint a "lawyer" who would act as their middleman and a point of contacts.

After our extensive investigations through different lawyers organisations we were unable to find the lawyer involved with Dowans nor his/her address or whereabout. One authority told us confidently that such a person does not exist except in papers.

b. We visited the offices of Dowans Costa Rica as indicated in their BRELA forms. In these forms Dowans (T) has listed two companies as one of the major shareholders, one is Dowans S.A of AVENIDA DE LA ROSAS 3J
CALLE BLANCOS, 1150 sAN JOSE, COSTA RICA and the other company is a major Singaporean company and world world leader in Port Management.. Portek Internation of 20 HARBOUR DRIVE #02-01 PSA VISTA, SINGAPORE 117 612 (Portek International Limited).

The later (Portek) assured us with no qualifications that it has no share, none whatsoever in the Dowans (T). And it is not involved in energy products in Tanzania. The only project they had was the sale of some logistics equipments to TICTIS. This can be verified easily by contacting: Tel: (65) - 6873 1114 or Fax: (65) - 6873 2224

The former (Dowans S.A) has been a pain in some places better left unmentioned. The report of our investigation team under my able leadership came to this conclusion "there is no such a business in Costa Rica operating under that name".

Indeed my visit to the address mentioned in BRELA forms led me to a free trade zone. A check of the business located there revealed no such company. After combing public and private records such as the National Registry of Costa Rica, Telephone, electricity, automobiles and database searches all revealed nothing. Not about Bernal Zamora Alce (the "lawyer") nor the company itself.

Our conclusions then are as follows:

a. Dowans entered into Tanzania under false pretenses, providing misleading information and therefore has engaged in fraud.

b. Due that fact in a, Dowans in Tanzania was wrongly registered and its activity as a company had no legal basis

c. Due to (a and b) Dowans lacks legal standing in our courts to ask compensation as an illegal entity operating illegally.

d. The government should seize all of Dowans assets and take everybody who was involved in enabling this company to enter into a contract with Tanesco to a court of law for abusing their offices and authority.

We have finished the incredible work on Meremeta going back to the time of Wemba Dia Wemba and the second Congo War. We have submitted our work to our commander of ideological battles to decide if he would publish them or due to the explosive nature (no pun intended) of the allegations he would not publish in Cheche.

After we bankrupted him he wants to charge a one time 25USD for the Special Edition of Cheche on Meremeta (good luck M!).

It is the choice for the CCM MPs to continue to support their corrupt government or to take it to task and restore the rule of law. We hope a courageous CCM MP will bring the issue of Dowans to the floor of the National Assembly and call for an independent inquiry to refute the allegations we have raised or confirm them. We believe such an inquiry will have more resources to dig more and do more than we did with our very limited budget.

Thanks M for giving us another mission. We are ready to fly again.

We humbly submit.
​


--
Changia Wahanga wa Maandamano ya Arusha MPESA – 0766334049 , ZAP – 0786 806028 Kama uko Nje ya Nchi Piga namba hizo kwa Maelezo
 
Wewe ni nani? hatuwezi kutumia hizo namba mpaka tujue ni za nani. Hivi wewe ndio unajua kama dowans na richmond ni kampuni feki?

Yako kibao, kuna Kagoda, Changanyikeni, Deep Green tulishayataja sana na hayo ni machache tu.

Nashukuru kwa kuungana nasi.

Peoples power
 
Back
Top Bottom