Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Wapo wanasheria wazalendo, watapembua hii kitu na itatolewa ndani ya muda kisheria. Siyo Ngeleja anasema hatuna ujanja ni kulipa tu.

Hivi si mnasema huyu bwana naye ni mwana sheria (Ngeleja)?? Sasa inakuwaje haya yanampita kushoto au ndo yuko ki-maslahi zaidi!!!
 
Ta Muganyizi Thanks huu ni wakati wakuunganisha nguvu zetu wote na kukusanya kila tulinacho... Hopefully God Willing Tutampata Mchawi wetu ili tuweze kumfilisi na kuzirudisha billioni zetu
 
Du yaani hata payment voucher tayari! hii kali, lakini uharaka huu ni wa nini?
Laiti madai ya wafanyakazi yangekuwa yanashighulikiwa fasta hivi! kuna wafanyakazi kibao wana madai yapo kapuni kisa, hamna pesa!
Wameshindwa kuajiri walimu wapya, kisa Hamna pesa!
Mama Kombani alisema no katiba mpya SABABU serikali haina fedha, sasa hizi za kuwalipa dowans fasta namna hii zinatoka wapi jamani? Waziri wa fedha hebu tuelimisha huenda sisi ndio hatuelewi, hizi pesa zinatoka wapi?
 
Naomba pia nipendekeze kuwa kwa wale ambao wapo hapo Dubai wajaribu kupiga hii simu na kumtafuta huyu jamaa wa Singapore Hong Sung Woo .. maana kwa uelewa wangu watu wa Singapore wana tabia ya kuwa na pseudonym ya kiingereza na wanaacha tu jina lao la mwisho. Witht his in mind hebu angalieni:
[FONT=Arial,Bold][FONT=Arial,Bold][FONT=Arial,Bold]
United Arab Emirates​
[/FONT][/FONT][/FONT]
Portek Middle East FZCO
PO Box 17815 Jebel Ali Free
Zone
Dubai, UAE
Tel: (971-4) – 886 0070
Fax: (971-4) – 886 0071​
Contact person: Nelson Woo

My conclusion huyu ndo yule msingapore tunayemtafuta ila wamemtaja kwa jina lake la passport wakati mara nyingi hawa jamaa hawatumi majina yao halisi.
Tuendelee
 
Leo Waalimu, Polisi, Wauguzi, wafanyakazi, zahanati, shule na Wastaafu wanaambiwa hakuna fedha, lakini tunadai tutalipa haraka nusu ya faini ili kuokoa riba?

What about riba ya mateso wanayoyapata Watanzania kila siku? je ikimachua watakuwa na uwezo kuilipa?

Leo hata ndege hatuna, treni haina magoti, umeme ni wa shida, maji ni ya shida, tunatembea dunua muzima tembeza bakuli halafu tuko tayari kabisa kwa uharaka kulipa hela kitu cha uzembe wala hatukati rufaa?

Yaelekea Serikali ya Tanzania imejaaliwa kuwa na mabingwa wa upumbavu. Tumemlipa Vhalambia na Nolan, tumemlipa IPTL, tumemlipa Dar Water, tunawalipa Rites, tunazilipia ndege koko na sasa baada ya kumlipa Richmond na kumpa mkopo kwenye mkataba ambao ulikuwa ni lazima ubfanywe batili, tunawalipa Dowans!

Who is next? Barrick, Kagoda, ?

Finally we now know who owns Dowans, Can Mkullo step it up and tel us who owns Kagoda and we can move on?
 
Huyu jamaa Picard ni ngumu kidogo kumpata lakini naomba niwasilishe njia rahisi ya kumpata. Kama tulivyoambiwa Dowans inaonekana ina uhusiano na Porteks na Royal Bank of Canada, kwa hiyo ni kiasi cha kutafuta katika institution hizi mbili majina haya.. na loh and behold! Nimepata jina la Picard ingawa ni ROBERT Arthur Picard... so it remains uncofirmed but highly probable that we are talking about this individual...
Navigant Consulting, Inc. (NYSE: NCI), a global consulting firm providing dispute, investigative, operational, risk management and financial advisory solutions, today announced that Robert A. Picard has been appointed Senior Advisor. He will provide services for the firm's Financial Institutions Restructuring Solutions Team ("FIRSTTM"), part of Navigant Capital Advisors (NCA), the dedicated corporate finance business unit of Navigant Consulting. The team provides a full suite of services to stressed and distressed financial institutions.
"Robert Picard has over 20 years of proven track record building successful businesses in alternative investments with competitive returns," stated Edward Casas, Senior Managing Director and Head of Navigant Capital Advisors Restructuring and Investment Banking. "Given the volume of hedge fund closures and parties impacted by this trend, Mr. Picard's unique background will be invaluable to clients in providing real life hedge fund solutions to deal with the major challenges facing hedge fund and financial institutions during this economic crisis."
Mr. Picard most recently served as Chief Investment Officer at Optima Fund Management, overseeing $6.5 billion in hedge fund of fund investments. Prior to joining Optima, Mr. Picard was a Managing Director at The Carlyle Group, where he built and managed the process and portfolio of an innovative hedge fund business that provided an institutional platform for institutions investing in alternative investments. Previously, Mr. Picard also served as Managing Director at RBC Capital Risk Advisors, working with the Global Equity Derivatives Group of Royal Bank of Canada, as European Manager, Structured Equity Products for RBC Dominion Securities Inc., as European Product Manager, Global Equity Derivatives for Kidder, Peabody in Europe and earlier worked for Bank Nomura (Suisse) S.A. trading and selling multicurrency, Japanese and South-East Asian convertible and warrant products. Mr. Picard graduated from College de Geneve and attended the University of Geneva School of Law.
The team has represented financial institutions and hedge funds, with tens of billions in assets under management or creditor claims, in restructuring and/or conducting orderly dispositions over the course of the last 24 months.

Nawasilisha na bado ninaendelea na utafiti...
 
Good.
Swearing gets the message across rather quickly!
 
I've told you this morning that there is no way the government to set itself asaid Dowans but as far as I know the mafisadi may corrude the entire legal system of High Court including the Registry! Since those in power are not using their brain to think hopefully this deal might be void and nul and that will completely be the begining of new error in this country! Watu wakiwa wazalendo hamna malipo kwa Dowans, uzalendo ukiwekwa pembeni Tanesco italipa maana Rais, Waziri mkuu, waziri wa Nishati na Madini, Mwanasheria mkuu wameisha ridhia turing the matter around that will require all of them to step down! Is that possible by the way? My eyes are open to that proceedings!
 
Wapo wanasheria wazalendo, watapembua hii kitu na itatolewa ndani ya muda kisheria. Siyo Ngeleja anasema hatuna ujanja ni kulipa tu.

Watapembua lini siku zinakwenda tu, tunabishana weeeeeeeeeeeeeeee, watu wakishtuka siku zimeisha, hakuna anayestuka kuwa mpaka sasa tanesco hawajasema kitu chochote kuhusu kuchukua hatua za kisheria?

Mwanzoni walisema, tunasuburi mwanasheria wa serikali aseme, kasema walipe hakuna mjadala, wazira naye kasema kuwa tanesco walipe ila ametoa pungufu kama mmachinga ( bila kuombwa) Tanesco wahusika wakuu wako kimya kama hawahusiki.


Jamaa wanapelekwa machinjioni bila kujijua, subirini muone!!!!!!!!!
 
Mwakyembe also has to go and fu@# himself if he keeps quiet on this. Li Lowassa litakuwa linamcheka tu.

Ningekuwa mimi ni Mwakyembe ningejiuzulu uwaziri ule...ili kuweka record yangu straight and clean!
 
Mimi nina hakika kama huyo Al Adawi alivyoikana Dowans kama mmiliki wake, hawa wamiliki wengine wote kama wataweza kupatikana na kuhojiwa nao watairuka Dowans kama ni kampuni yao. Hapo ndipo itakuwa patashika nguo kuchanika kuhusiana na sakata hili la Dowans
Mkuu, Sidhani kama hawa mafisadi wanaweza kufanya makosa waliofanya huko nyuma...Hao wote labda wameshaahidiwa chao na wanajua pesa karibia inatoka...usishangae hata Al Adawi akikanusha kwamba hajawai kusema yeye sio mmiliki wa Dowans kama hata kimbia simu.Mwanzoni mwa huu utawala wamejifunza mambo mengi na sasa hivi wametukuka.
 
Once CDM take Government which is must 2015, i said must, wananchi bcoz of hard lives lazima must revenge, WOTE WATAKAMATWA,
NA WATARUDISHA HELA ZETU, they screwed us citizens, let them have for 4 yrs, shame, shame, shame, waiting you 2015, watu
wameshawaelewa, who make them poor to enslave them
 
Hii mambo ya kuilipa Dowans kwa style ya Voda fasta inauma ile mbaya. haiwezekani kuna vipolo vya mambo kibao vimeachwa na serikali... Si wawaambie kuwa hawana hela, au wagome tu...kwa sababu all this shit is a cooked one.

Walimu wanadai hela, mishahara increment genuinely...nobody cares; wazee wa jumuiya ya Africa mashariki wanafia mahakamani kusotea hela zao...nobody cares. Magufuli (Though he is also a part of the f*cken system) juzi analalamika serikali haina hela za kulipa makandarasi. Makandarasi wanadai serikali malimbikizo ya zaidi ya sh. Bilioni 700. Hakuna hela ya kulipa.

Hizi hela wanazotaka kulipa kwa style ya Voda Fasta hii...zinatoka wapi? hakika wanajilipa wenyewe! Shame on them!!

na haka Kangeleja kanaongea ishu kama ile just kirahisi rahisi tu..oooh eti Werema kasema ni lazima tulipe...what the f????
 
Waziri Ngeleja amemtaja Stanley Munai, raia wa Kenya kama moja wa wakurugenzi wa Dowans hapa nchini, moja ya kampuni mbili zinazoimiliki Dowans Tanzania Ltd. Je, huyu Stanley Munai ni nani ?

  • Yasemekana alimaliza University of Nairobi mwaka 1997.
  • Alifanya kazi kwenye kampuni ya Deloitte kwa miaka kumi 1997 - 2007 nchini Tanzania.
  • Kwa sasa anaelezwa kama Independent Accounting Professional na ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa Dowans.
  • Je, katika kipindi chote kwa nini hakuweza kutajwa wala kuhojiwa kuhusiana na kampuni hii ?

Kenyans are corrupt, temea mate chini!! wote waliotajwa ukiwafuata na kuwabana kwa sheria za nchi zao, kwanza wataikana Dowans leo hii!!


Mkuu yaani hizi zote ni danganya toto tu, the owner is still the same, the known and untouchable RA.

Is not true, the owner of Dowans is JK! baada ya kumtaja yeye amewauzia kesi wengine, ukiwauliza hao wengine watakataa!

Mlikuwa mnalia humu, mnataka kujuwa Dowans ni ya nani, leo mmewekewa wazi, bado mnalia! hata haya hamuoni? mnawaita wawekezaji mkishaingia nao mkataba mnataka muwazike? hivyo ni viwekezaji vidogo vya mitaani, miwekezaji kama hiyo iliyotajwa, inawekeza kimataifa huwezi ukaiingiza mjini. Utajuta.

Siamini kama ulijiandikisha JF mwaka 2007!! nenda blog ya michuzi!

Ngeleja acha kujidhalilisha kwa kuchanganyacganya maneno,juzi hapa mpaka na waziri wako mkuu mlikuwa "hamuwajui" leo hii mnakuja na majina yasiyoeleweka...

Ngeleja alishadhalilika tangu akiwa Vodacom!! ni mwizi , Voda kamuibia Rostam!! minara kibao anamiliki yeye isivyo kihalali! sembuse Dowans!!
 
Leo Waalimu, Polisi, Wauguzi, wafanyakazi, zahanati, shule na Wastaafu wanaambiwa hakuna fedha, lakini tunadai tutalipa haraka nusu ya faini ili kuokoa riba?

What about riba ya mateso wanayoyapata Watanzania kila siku? je ikimachua watakuwa na uwezo kuilipa?

Leo hata ndege hatuna, treni haina magoti, umeme ni wa shida, maji ni ya shida, tunatembea dunua muzima tembeza bakuli halafu tuko tayari kabisa kwa uharaka kulipa hela kitu cha uzembe wala hatukati rufaa?

Yaelekea Serikali ya Tanzania imejaaliwa kuwa na mabingwa wa upumbavu. Tumemlipa Vhalambia na Nolan, tumemlipa IPTL, tumemlipa Dar Water, tunawalipa Rites, tunazilipia ndege koko na sasa baada ya kumlipa Richmond na kumpa mkopo kwenye mkataba ambao ulikuwa ni lazima ubfanywe batili, tunawalipa Dowans!

Who is next? Barrick, Kagoda, ?

Finally we now know who owns Dowans, Can Mkullo step it up and tel us who owns Kagoda and we can move on?

Richmond = Dowans, each day for 2 yrs walikuwa wanalipwa Tshs 152, 000,000, which is Tshs 108 bil, hadi mkataba unavunjwa 2008, then
illegally, no contract with Richmond, or Tanesco, Dowans inherited the deal, eti wako na Tanesco how?????:frusty::frusty::frusty::frusty: so kampuni
moja majina mawili na wanalipwa leo 185 bil, lazima warudishe, wananchi wote wanaumia daily, this is unacceptable, 2015 is around the corner na walivyo wabaya wakapandisha umeme, meaning everything itapanda bei, citizens i know kwa ugumu wa maisha wenyewe wata react soon
 
ukiona kitu kinatetewa na AG, PM na waziri ili kuhalalisha malipo kwa kampuni hewa basi na kitu kichukue zaidi ya miaka mitano na kampuni imesajiliwa sehemu zenye ulakiniiaka na kufinyanga finyanga kwa nyaraka unakuwa mkubwa hivyo basi muhusika mkuu ni mkubwa kwa cheo kuliko hao wanao mtetea. valambhia alikuwa na haki wakaamua kumlipa nolan, mpaka leo hawajawalipa warithi wake? eac wazee bado hawajalipwa zaidi ya miaka 30 sasa, lakini hili licha ya mapungufu kibao cha mkataba bado mbwa koko analilia kuliwa na chatu
 
Leo Waalimu, Polisi, Wauguzi, wafanyakazi, zahanati, shule na Wastaafu wanaambiwa hakuna fedha, lakini tunadai tutalipa haraka nusu ya faini ili kuokoa riba?

What about riba ya mateso wanayoyapata Watanzania kila siku? je ikimachua watakuwa na uwezo kuilipa?

Leo hata ndege hatuna, treni haina magoti, umeme ni wa shida, maji ni ya shida, tunatembea dunua muzima tembeza bakuli halafu tuko tayari kabisa kwa uharaka kulipa hela kitu cha uzembe wala hatukati rufaa?

Yaelekea Serikali ya Tanzania imejaaliwa kuwa na mabingwa wa upumbavu. Tumemlipa Vhalambia na Nolan, tumemlipa IPTL, tumemlipa Dar Water, tunawalipa Rites, tunazilipia ndege koko na sasa baada ya kumlipa Richmond na kumpa mkopo kwenye mkataba ambao ulikuwa ni lazima ubfanywe batili, tunawalipa Dowans!

Who is next? Barrick, Kagoda, ?

Finally we now know who owns Dowans, Can Mkullo step it up and tel us who owns Kagoda and we can move on?
Rev.
Yaani hii issue inatia kinyaa, mi nikimungalia Ngeleja nasikia kufa.Hawa jamaa wanatufanya sisi wadwanzi wa kutupwa.RA katoka eti Malaysia, anadai analeta wawekezaji, ghafla majina ya owners wa DOWANS yamepatikana. Hapa ni baada ya kuona hela hizo za kuchota ndo wamefanya huu mchongo. Nina uhakika wakifuatiliwa hawa watakana kama jamaa wa Arabuni alivyowahi kukana.

Yote tisa hivi kuna uharaka gani na umuhimu gani kutaka kulipa mapema hivyo?Eti leo RA anaongea, kesho wakeze wanatoa tamko kuilipa DOWANS!!

Kuna mambo mangapi hapa wanasema hakuna hela, ila yakulipa ipo fasta!

We need to kill some punks here!! Yes kill them wanatuona sisi mafala, na tunalipia sasa kwenye bill za umeme!
 
Aaaw the poor little effin morons in CCM have no clue that they live in a different age... that it is the 2nd decade of the 21st Century in a highly globalized world ( where I am writing this sentence in Europe where it is afternoon, and someone in China and the US are reading it almost instantly...) We are a collective brain... we cant be fooled in the same way as wakati watu wanasoma UHURU na kutegemea RTD.

Watu wajinga sana hawa...nimeamini kweli kuwa CCM has placed the barrel of a 9mm Pistol in their mouth and gently sucking on it before pulling the trigger 2015.

What scares me is that they dont know what they are doing, rather just enjoying the taste of the 9mm,,no gag reflex.. watakapo jilipua 2015...hawato kubali... itakuwa vita.. watu watakufa... amani itavunjika na jina la Tanzania litachafuka.. Hicho tuu ndio naogopa... CCM is suicidal.
 
Back
Top Bottom