Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Ngeleja alikuwa mtumishi wa rostam pale vodacom, hata sasa bado anamtumikia bosi wake umaskini umeingia akilini mwake.
Yaani serikali hii ni mauaji, mafisadi na wezi wa kila kitu. Uko wapi smauel sitta? Uko wapi mwakyembe??
Chadema maandamano kila mkoa kulani yafuatayo
1. Mauaji ya arusha ni uthibitisho wa serikali dhalimu
2. Upandishaji bei ya umeme ni uthibitisho wa serikali kandamizi
3. Uchakachuaji umeya ni uthibitisho wa ufisadi na kulindana
4. Kuilipa dowans ni uthibitisho wa serikali fisadi na inayoongozwa na mafisadi ni unyonyaji
5. Mbowe, slaa na timu nzima ya chadema tunaomba maandamano haya tanzania nzima mkoa kwa mkoa chini ya usimamizi wenu kulani hayo hapo juu huku tukiwaelimisha watanzania maana ya mkutano wa kikatiba kudai katiba mpya.
 
Canada + India + Singapore + Oman + Kenya (+ Costa Rica?!) - Tanzania = Dowans Tanzania
Duh..Hii puzzle!!!???

Ni wazi jibu la Dr Slaa ndilo sahihi kwenye hii formular..
Otherwise it doesn't exist in the universe
 
Hili limetokea huko Tanganyika, Kwamba Mdaiwa analipamba Deni lake. anapiga Makofi na Vigelegele huku akiomba Kukuche akalilipe Deni Lake

Kweli Ukiyastaajabu ya Musa Utayaona ya Firauini
 
Wana JF nadhani serikali imepindisha pindisha maneno na kuridhia kuwalipa Dowans. Sote tunafahamu katika watu waliotajwa na Ngeleja hakuna hata mmoja ambae ni Mtanzania. Sheria za uwekezaji za Tanzania zinaitaji asilimia kadhaa iwe inamilikiwa na wazawa. Hivyo Dowans ilishakiuka muongozo mzima wa uwekezeji ndani ya nchi ya Tanzania.

Sote tunafahamu kabisa kwamba Ngeleja ni lazima amlipe boss wake, ambae ndie aliyempa ile kazi na ndie aliyemkuza tangu Vodacom.

Billioni 90 ambazo Dowans wanalipwa ni income na hivyo iko subjected kulipiwa kodi. Ni imani yangu TRA wataingilia kati na kusema asilimia 28% au zaidi ya kipato hicho Dowans walichotengeneza ni lazima kipelekwe TRA kama kodi.
 
fakini...
anyway nimemsikia chizi ngeleja leo kwenye nipashe akihojiwa na maulidi kitenge

Maulidi Kitenge
:kwa hiyo inawezekanaje hao dowans waje tu hivi hivi kuwekeza..ina maana wana mwenyeji wao hapa tanzania
Ngeleja:..ahhh mimi sijui....ila ninachojua nawaomba watanzania waamini mambo ya kwenye maandishi...wasiishi kwa hisia...sikatazi mtu kuwa na hisia lakini waamini kile kinachotoka brela
nikafunga redio.....

Hii ndiyo shida ya wasaidizi wa JK, aka "winning team" Kinachochekesha sana ni kuwa wanatufanya wajinga wa kwanza!! Ona Bw. Omary Nundu, Kombani, eti nilikuwa natania........

Argsrsghsh@#%&(()f**#^^**(C&*(K- Nakufuata muchungaji huko Mars!!!
 
Na bado mengi yatakuja tutalipa bado:

Iptl
majembe
songas
starcom
 
fakini...
anyway nimemsikia chizi ngeleja leo kwenye nipashe akihojiwa na maulidi kitenge

Maulidi Kitenge
:kwa hiyo inawezekanaje hao dowans waje tu hivi hivi kuwekeza..ina maana wana mwenyeji wao hapa tanzania
Ngeleja:..ahhh mimi sijui....ila ninachojua nawaomba watanzania waamini mambo ya kwenye maandishi...wasiishi kwa hisia...sikatazi mtu kuwa na hisia lakini waamini kile kinachotoka brela
nikafunga redio.....


Kwani hawa wamesajiliwa kama wawekezaji au?

na sheria ya kuwekeza inasema lazima kuwe na mwenyeji katika wamiliki au ndo RA na EL, lakini mbona wamekataa?
Hapa inabidi kuwabana ma...mbu watasema tu. Uongo siku zote utajitenga na hawataweza kuunganisha dot zote lazima kuna mahali watasahau na ndipo hapo mchawi ataonekana mchana kweupe akichezacheza akiwa uchi wa mnyama. Sijui atakuwa Jk au RA au EL ngoja tusubiri.
 
Hahahaha ndiyo maana inaitwa bongo. Mwizi akikosa cha kuiba anajiibia!
 
CCM na genge lake la wahuni wanadhani Watanzania ni wapuuzi. Kwa miaka 50 wamekuwa wakituimbia kibwagizo cha "sisi ni masikini". Wapuuzi kama huyu Ngeleja ambao ni product wa neoptism kama kina Ridhiwani na wehu wengine ndio watakao sababisha hii nchi kuingia kwenye sura mpya ambayo hakuna hata mmoja wetu alishawai kuwaza.

Ngeleja analopoka kwamba Dowans inamilikiwa na raia wa nchi nyingine na nyaraka ameonyesha zinatoka Brela. Jee sheria ya uwekezaji ya Tanzania inasemaje kuhusu wawekezaji, si lazima asilimia fulani imilikiwe na wazawa? Sasa ni kina nani ambao wana share kama wazawa? We need Fk names.....


I hope mungu atawachoma kwa moto tofauti Ngeleja na wenzie wanaoipeleka hii Tanzania kusikojulikana. I hope yule mpuuzi VX yake igongwe na 18 wheelers akiwa anaenda Bungeni. I think huku ni kuwatusi Watanzania... Ndugu zangu kule Nyasa nimekwenda mwaka jana wanalilia ugali na mnavu (majani yanayota barabarani), this son of the witch anazunguka kama poyoyo kuropoka vitu visivyo na kichwa wala miguuu.... eti Dowans inamilikiwa na raia wa nje, wa nje my behind.

I hope he will die, i swear i hope.
 
Kwani hawa wamesajiliwa kama wawekezaji au?

na sheria ya kuwekeza inasema lazima kuwe na mwenyeji katika wamiliki au ndo RA na EL, lakini mbona wamekataa?
Hapa inabidi kuwabana ma...mbu watasema tu. Uongo siku zote utajitenga na hawataweza kuunganisha dot zote lazima kuna mahali watasahau na ndipo hapo mchawi ataonekana mchana kweupe akichezacheza akiwa uchi wa mnyama. Sijui atakuwa Jk au RA au EL ngoja tusubiri.

Sasa hiv EDO amekaa sehemu tulivu anakunywa Hennessey!! Huku anacheka cheko ndogo ndgo tu....
Donge nono ndo hilo...
 
I am not scared,

Yes I said it loud, NGELEJA can go and F@c& himself and so are those who he goes in bed with!

Can you believe this bull$hit of telling us tha tunawafahamu owners of Dowans?

The whole contract with Richmond was bogus and now unawadanganya Watanzania kwua you are going to pay Dowans half of the amount declared we should pay them by ICC? Really?

Does the Serikali of Tanzania think everyone is as dumb and stupid as most officials are?

Can they tell us when did the so called owners come to Tanzania to incorporate Dowans at Brela? Which country did these people reside and which Tanzanian embassy did they obtain their Visas from?

Can they show us the faces of these people so we can ask Interpol and other organizations to track them down for us?

Does Ngeleja being the spoke person of Serikali realizes that his admission of knowing these guys or true owners of Dowans is putting our Serikali in jeopardy for future lawsuits?

Who in the Ph@&^*g Serikali came to a conclusion that we can give Watanzania Vitumbua and they will have to eat them penda wasipende?

Yes, I am freakin pissed off and if anyone asks why Mchungaji you are cursing out, I will tell them to join mduara with Ngeleja and p@#& themselves.

Najua wengine ni madaboajenti, kawaambieni mabwana zenu of what I have said and I would simply say bring it on. Kama ya Arusha mnayaona ni trela, basi Sinema nzima na steringi watakuja ule mkao wa bwijampola!

Huu ni wizi wa mchana na ni sawa na mtu kuambiwa bon'goa halafu ukachezewa mchezo mbaya.

I can't believe these MOFOs can dare to pull this one, eti hawa ndio wamiliki wa Dowans na tutawalipa hizi shilingi!

I am moving to Mars, where there are no human beings but dust and some funny looking particles and matters that have better mental capacity than Serikali ya Tanzania!
One of those posts you want to press "THANKS" more than once!
 
Hahahaha ndiyo maana inaitwa bongo. Mwizi akikosa cha kuiba anajiibia!

Kweli Bongo Tambarare maana kama Speed hii hii Ingetumika kuwalipa

1: Wastaafu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
2: Walimu Malimbikizo yao
3: Wanafunzi wa Chuo Kikuu

Basi Tungekuwa Mbali sana
 
Kwani hawa wamesajiliwa kama wawekezaji au?

na sheria ya kuwekeza inasema lazima kuwe na mwenyeji katika wamiliki au ndo RA na EL, lakini mbona wamekataa?
Hapa inabidi kuwabana ma...mbu watasema tu. Uongo siku zote utajitenga na hawataweza kuunganisha dot zote lazima kuna mahali watasahau na ndipo hapo mchawi ataonekana mchana kweupe akichezacheza akiwa uchi wa mnyama. Sijui atakuwa Jk au RA au EL ngoja tusubiri.


true sheria ya uwekezaji ipo wazi LAZIMA KUWE NA LOCAL DIRECTOR....kwa hiyo tayari dowans imevunja sheria.....mwanasheria mkuu hakuliona hilo......HIVI KIKWETE NA WAJINGA WENZAKE WANAFIKIRI WATANZANIA NI WAJINGA???????
 
Mkuu mimi nakusoma vema sana lakini nina haya:

  1. Serikali ni nini haswa?
  2. Ngeleja ni nani mpaka mjihakikishie kuwa LAZIMA atamlipa boss wake?
  3. Kama wakilipwa bila kodi unadhani TRA watakuwa na meno?
Sisi wananchi tunasema HATUTAKI walipwe DOWANS, sasa 'serikali' hiyo ni kwa ajili ya nani? Wasiwasi wao nini? Kama wanadhani haya ni maandishi ya JF tu basi wajaribu kuitisha hata kura ya maoni juu ya hili. Kama ni DOWANS kulipwa itahitaji muda ili kwanza wabunge ambao ni wawakilishi wetu HALALI (japo wapo kibao mamluki) tuone nao wamekubali kutuingiza katika matatizo haya na tujue siku ya siku nani 'tutamhukumu kwa haki' ama wameamua kutunusuru na janga hili.

Maamuzi toka watu wachache kwa niaba ya watanzania wote katika jambo nyeti kama hili si ya kuanza kupewa baraka kirahisi hivi, ati 'ni wazi watalipwa'... Tuwafahamishe kuwa wakishalipa watarajie baraza la mawaziri kung'atuka karibuni.

This' serious!
 
......ngeleja ...put the bitch to the garden in the day light ....mofu........!!!fooool......

samahanini upuuzi tunaoambiwa na viongozi wetu tuliowaamini unatia hasira.....eti tumeshusha dau toka bilioni 185 hadi 90 !!!!! Wakati kuna technicalities nyingi tu za kuwabana kisheria...........wanasheria nendeni hata wall street ......hakuna kampuni yenye vigezo hivi...why ?? Kwa nin>>>???hata senti haitoki!!!
 
Tumeshachoka kuibiwa Watanzania miaka nenda miaka rudi. Safari hii mpaka kieleweke. Haibiwi mtu hapa!!
 
I am not scared,

Yes I said it loud, NGELEJA can go and F@c& himself and so are those who he goes in bed with!

Can you believe this bull$hit of telling us tha tunawafahamu owners of Dowans?

The whole contract with Richmond was bogus and now unawadanganya Watanzania kwua you are going to pay Dowans half of the amount declared we should pay them by ICC? Really?

Does the Serikali of Tanzania think everyone is as dumb and stupid as most officials are?

Can they tell us when did the so called owners come to Tanzania to incorporate Dowans at Brela? Which country did these people reside and which Tanzanian embassy did they obtain their Visas from?

Can they show us the faces of these people so we can ask Interpol and other organizations to track them down for us?

Does Ngeleja being the spoke person of Serikali realizes that his admission of knowing these guys or true owners of Dowans is putting our Serikali in jeopardy for future lawsuits?

Who in the Ph@&^*g Serikali came to a conclusion that we can give Watanzania Vitumbua and they will have to eat them penda wasipende?

Yes, I am freakin pissed off and if anyone asks why Mchungaji you are cursing out, I will tell them to join mduara with Ngeleja and p@#& themselves.

Najua wengine ni madaboajenti, kawaambieni mabwana zenu of what I have said and I would simply say bring it on. Kama ya Arusha mnayaona ni trela, basi Sinema nzima na steringi watakuja ule mkao wa bwijampola!

Huu ni wizi wa mchana na ni sawa na mtu kuambiwa bon'goa halafu ukachezewa mchezo mbaya.

I can't believe these MOFOs can dare to pull this one, eti hawa ndio wamiliki wa Dowans na tutawalipa hizi shilingi!

I am moving to Mars, where there are no human beings but dust and some funny looking particles and matters that have better mental capacity than Serikali ya Tanzania!

You are the JamiiForum Michael Jordan!!!Kula senksi kwa wingi saaana!!!Screw puppet Ngeleja and Co.!
 
Jamani semeni sasa wananchi tufanye nini maneno na matusi hayatosaidia, vifanyike vitendo sasa.
 
Back
Top Bottom