Waziri mwandamizi anapovaa cheni

Waziri mwandamizi anapovaa cheni

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
898
sijajua utaratibu unasemaje lakini nimeona bora niulize

Najua Mkapa alikuwa mvaaji lakini I was just curious on utaratibu thats all
 
Kuna wanaovaa hirizi mkuu.
Lakini wanazificha!!!


nini kuvaa kuna mmoja amemeza kabisa hirizi iko tumboni miaka nenda rudi ..wanamsema kweli kwenye magazeti kwenye NEC ,lakini wapiiiiii anataka kuchukua form ya uraisi 2015..
 
Na kuna wengine wanavaa mapete!
 
OK,

Mimim nadhani kuvaa cheni siyo tatizo mradi asiwe fisadi. Mzee Ben alikuwa mshabiki wa kuvaa cheni. It's ok.
 
OK,

Mimim nadhani kuvaa cheni siyo tatizo mradi asiwe fisadi. Mzee Ben alikuwa mshabiki wa kuvaa cheni. It's ok.

Mzee Ben Bingwa wa vyote, kuvaa cheni, Pombe sana, Ufisadi (Kumbuka EPA ameiruhusu Ben, Net group solution iliyofilisi TANESCO ni ya Ben, Mali nyingi za serikali alizigawa kwa mama Ben, Kiwira nk). Ben mwisho usitukumbushe... wacha sisiem waende tu wanatutia uchungu!!!
 
Back
Top Bottom