johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Hahahaaaa...... Bwashee wewe hutumii mafuta ya kula?DUH, ngoja niendelee kula zangu popcorn na barafu, mambo mengine niwe mtazamaji na msikiliza, domo langu shutup yourself
Wazalishaji wa wapi?Ah wapi, wazalishaji wakubwa wamekosa malighafi kutokana na serikali kuwa na sera mbovu za kodi.
Kwani huwa yanazalishwa hapa Tz,,!! ama yanaletwa na kufanyiwa mchakato tu..???Ah wapi, wazalishaji wakubwa wamekosa malighafi kutokana na serikali kuwa na sera mbovu za kodi.
Wangapi wanatumia mafuta ya ndani?Siyo kwasababu nchi haizalishi mafuta ya kutosha?
Ukweli upi unautaka? nimekwambia hakuna meli inayokaa bandarini mwezi mzima kusubiri Kupakua shehena, Sasa Unataka nini tenaTupe ukweli wako bwashee!
Ngoja tumuulize Kakoko!Ukweli upi unautaka? nimekwambia hakuna meli inayokaa bandarini mwezi mzima kusubiri Kupakua shehena, Sasa Unataka nini tena
Kwanini bwashee!Hiyo sababu siikubali!!??
Meli ikikaa sana ni siku 7 tu, tena Meli za Mafuta ndo hazikai kabisa kwa sababu siyo nyingi na zina dedicated berths, Kurasini Oil Jetty(KOJ) kwa meli ndogo za 5000 hadi 45000 Metric tons au SPM kule deep sea kwa meli kubwa za kubeba 150,000 Metric Tons,Ngoja tumuulize Kakoko!
Huyu jamaa ni mwehu kabisa,bei ya soko la dunia inaathili vipi kilimo Chetu Cha mafuta?Waziri wa biashara Mh Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia...