Ulipokamilika huo uwanja, wadau wengi wa michezo, walipendekeza majina, na jina lililoonekana limekubaliwa, ni la Mkapa Stadium. Lakini kwa ajili ya wivu wa wale wa AWAMU YA NNE, wakabatiza hilo jina litumikalo sasa. Lakini, hata huko nje, linatambulika sana ni View attachment 1022716la MKAPA STADIUM!
Tutaita kwa Mtanzania tukimaliza kulipa deni la Wachina.Leo wakati akizindua nembo itakayotumia kwenye michuano ya vijana u17 AFCON itakayofanyika nchini waziri Harryson Mwakyembe amekea tabia iliyozuka ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina.
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina, uwanja huu umejengwa kwa Kodi za watanzania wenyewe na Wala sip msaada kutoka China Ni ajabu kuanza kuuita Kwa mchina Ni Bora hate mkaita kwa Mkapa maana ndo alieujenga. Naomba hii tabia Ife tuwe wazalendo".
View attachment 1022590
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo wakati akizindua nembo itakayotumia kwenye michuano ya vijana u17 AFCON itakayofanyika nchini waziri Harryson Mwakyembe amekea tabia iliyozuka ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina.
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina, uwanja huu umejengwa kwa Kodi za watanzania wenyewe na Wala sip msaada kutoka China Ni ajabu kuanza kuuita Kwa mchina Ni Bora hate mkaita kwa Mkapa maana ndo alieujenga. Naomba hii tabia Ife tuwe wazalendo".
View attachment 1022590
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina,
Sure, we kausha tuuNicknames zina kawaida moja, ukitumia Nguvu sana kuzipinga ndio zinazidi kukukaa na kuzoeleka.
Eehhh ndio waziri eti huyoHv viongozi hawana mamboya kuzungumza cku hizi jaman!?? Hakuna hoja tenaaa za maana
Sent using Jamii Forums mobile app