Waziri Mwakyembe apiga marufuku uwanja wa Taifa kuitwa "Kwa Mchina"

Waache wanainchi waite chochote wanachotaka,kwani jina official linajulikana ni uwanja wa taifa lakini ushabiki wa mpira una raha zake ambazo ndio hizo.
 
  • Thanks
Reactions: kas
wewe jamaa ni kilaza

jina la kwa mchina ni mashabiki haswa wa simba ndio walilibatiza sababu aliyejenga uwanja huo alinyongwa hvyo ukiingia hapo lzm unyongwe

kwa akili yako kisoda unaona uwanja huo kuitwa mkapa stadium ni sahihi badala ya uwanja wa taifa ambao ndio official name yake.
Ulipokamilika huo uwanja, wadau wengi wa michezo, walipendekeza majina, na jina lililoonekana limekubaliwa, ni la Mkapa Stadium. Lakini kwa ajili ya wivu wa wale wa AWAMU YA NNE, wakabatiza hilo jina litumikalo sasa. Lakini, hata huko nje, linatambulika sana ni View attachment 1022716la MKAPA STADIUM!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo wakati akizindua nembo itakayotumia kwenye michuano ya vijana u17 AFCON itakayofanyika nchini waziri Harryson Mwakyembe amekea tabia iliyozuka ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina.
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina, uwanja huu umejengwa kwa Kodi za watanzania wenyewe na Wala sip msaada kutoka China Ni ajabu kuanza kuuita Kwa mchina Ni Bora hate mkaita kwa Mkapa maana ndo alieujenga. Naomba hii tabia Ife tuwe wazalendo".
View attachment 1022590

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaita kwa Mtanzania tukimaliza kulipa deni la Wachina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti kwa Mkapa..!!!??

Mkapa si tayari ana shule!!!!?

Benjamin William Mkapa.....

Inayoongoza kutaga mayai.

Hapo ni kwa Mchina.
 
Anaumia Na Lipi Sasa,? wakati uwanja haukuwa na jina, . vya taifa ni vingi ! Lazima Kila Kimoja Kijitegemee.Uwanja Wa Taifa Ulikuwa Wa Zamani Sasa Uhuru, Huu Hauna Jina, , . Kwa Mchina Ndo Habari Ya Mjini, Very Miner Issue To Be Discussed At National Level,
 
Nakubaliana na wewe, lakini Waziri kachelewa maana jina "mchina" limepaa sana mbona!

Aache tu litakufa lenyewe muda ukifika.
Leo wakati akizindua nembo itakayotumia kwenye michuano ya vijana u17 AFCON itakayofanyika nchini waziri Harryson Mwakyembe amekea tabia iliyozuka ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina.
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina, uwanja huu umejengwa kwa Kodi za watanzania wenyewe na Wala sip msaada kutoka China Ni ajabu kuanza kuuita Kwa mchina Ni Bora hate mkaita kwa Mkapa maana ndo alieujenga. Naomba hii tabia Ife tuwe wazalendo".
View attachment 1022590

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwakyembe" Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina,

Huyu mgonhjwa nae hana kazi za kufanya ndio maana anafuatilia mambo yasiyo na tija kwa maendeleo ya Nchi!!! You can not regulate what people want to utter from their mouths!!!
 
Tukutane "taifa"" zamani ilikua hivo na inasound vizuri, sijui nani akaja na swaga eti kwa mchina, tuite kwa majina yetu bhana, mkwakwani, kaitaba, kirumba, Nangwanda , zinasound vizuri sana, hata Shamba la bibi jina hilo lina afadhali kuliko kwa mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na huyo naye ni waziri?Alikuwa na akili wakati uleee mama Manning alipokuwa bosi wake.Siku hizi kawa bure beleshi.
ANGALIZO
Asisahau kuna;
-Kwa Manyanya
-Kwa Mtogole
-Kwa Aziz Ally
-MUSSA HASAN(Msasani)nk.
Akataze na hayo.Stupid minister!
 
Back
Top Bottom