Waziri Mwakyembe apiga marufuku uwanja wa Taifa kuitwa "Kwa Mchina"

Huyu naye anajisumbua tu,wabongo ndo zetu,Masaki,oysterbay ni uzunguni,Tandale,Buguruni,Manzese ni uswahilini,kituo cha mafuta ni sheli,kaptula ni Bukta,Magufuli ni Jiwe,Makonda ni Bashite.ongezea na mengine.
 
Nchi ina viongozi wa ajabu waliojaa matamko ya ajabu sioni athari zozote kiuchumi, kijamii wala kivyovyote kuwa na nick name
Duh inachosha kama kila kiongozi atatafuta kiki kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majina Ya Utani Huwa Yanaibiliwa Na Watu Kutokana Sifa Fulani Iliyopo. Kuna Watu Wana Majina ya utani hawakulazimisha waitwe hivyo na huenda hawayapendi wala kuyafurahia lakini wanaitwa tu. Mbona uwanja wa Taifa wa zamani unaitwa SHAMBA LA BIBI badala ya jina lake jipya uwanja wa uhuru? Uwanja Wa Taifa Kuitwa KWA MCHINA ni swaga tu
 
National stadium ndo linapendeza hayo majina mengine ka dawa za kienyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipokamilika huo uwanja, wadau wengi wa michezo, walipendekeza majina, na jina lililoonekana limekubaliwa, ni la Mkapa Stadium. Lakini kwa ajili ya wivu wa wale wa AWAMU YA NNE, wakabatiza hilo jina litumikalo sasa. Lakini, hata huko nje, linatambulika sana ni
Screenshot_20190214-202832.png
la MKAPA STADIUM!
Kwa Mchina Ina Mashiko Na Ni Swaga
 
ye kajuaje kama uwanja wa taifa ndio unaitwa kwa mchina?? suspect number moja kama ingekua kesi
 
Back
Top Bottom