Waziri Mwakyembe apiga marufuku uwanja wa Taifa kuitwa "Kwa Mchina"

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,847
2,000
Leo wakati akizindua nembo itakayotumia kwenye michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 AFCON itakayofanyika nchini, Waziri Harryson Mwakyembe amekea tabia iliyozuka ya kuuita uwanja wa Taifa "Kwa mchina"

Amesema "Ni upuuzi uliopitiliza kwa tabia iliyojitokeza ya kuuita uwanja wa Taifa kwa mchina, uwanja huu umejengwa kwa kodi za Watanzania wenyewe na wala sio msaada kutoka China. Ni ajabu kuanza kuuita kwa mchina. Ni Bora hata mkaita kwa Mkapa maana ndo alieujenga. Naomba hii tabia ife tuwe Wazalendo".

View attachment Inst-video-1.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom