Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Nguvu ya umma imeshaanza kufanya kazi taratibu, na taratibu ccm wataelewa, mwishowe taratibu wataachia nchi na mabadiliko yataanza kutokea nchini kwetu.
Aha ha ha huyu kafanana na yule mzee wa gombe
Nipo kama Bwana wako! Mwendesha Bodaboda akimzomea Professor، Prof atapungukiwa na nini au hao Maboda boda wataongezeka nini, Kwanza hiyo habari ni ya kutunga kuwaliza Akili kipunje kama wewe!
wanach bana
milion 68 wana weza huza hata hutu wao.
Slaa kaingiaje tena hapo jamani.....vilaza bana utawajua tuu......!
Hiiyo hela yote ni kweli ni halali? Kama takukuru wangekuwa na meno wangetakiwa wamhoji. Hivi kazi ya wabunge ni kutoa fedha yao mfukoni ili kuendeleza majimbo yao? Na wale wabunge ambao siyo mafisadi itakuwaje? Sasa kuna haja gani ya halmashauri au hata wizara kuandaa bajeti kama mbunge anaweza kutoa milioni 68 mfukoni? Ni nani atafuatilia matumizi ya hiyo hela? Hawa ndiyo wanawafanya baadhi ya watumishi wa halmashauri kukosa uaminifu kwaninwanapewa fedha ambayo hawalazimiki kuitolea maelezo.Siasa za tz bhana! Mbunge anatoa hundi Mil 68 kwa kazi za maendeleo, kazipataje na serikali ifanye nini? Poor Rage, hata hajui kazi ya mbunge. Kama ni hivyo, hatuna haja ya kuwa na serikali, chama tu kinatosha.
Kuzomea ni tabia ya binadamu aliyechoka kufikiri...tusipende kusifia tabia za ajabu kama hizi....zina madhara makubwa siku za usoni kama tukiziendekeza.....!
Kuendekeza mambo haya japo yanaweza kuwa in favor upande wetu kwa sasa but may cost us a lot in the future!
Siasa za tz bhana! Mbunge anatoa hundi Mil 68 kwa kazi za maendeleo, kazipataje na serikali ifanye nini? Poor Rage, hata hajui kazi ya mbunge. Kama ni hivyo, hatuna haja ya kuwa na serikali, chama tu kinatosha.
Kwani Slaa ndiyo chura wa Kihansi? Ameingiaje kwenye hiyo statement yangu?
Na bado wanadhani kutowa kafara damu za watanzania ni raha? mungu yupo iposiku atawajibu wa tanzania.