Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,022
Hivi we ukoje?
Nipo kama Bwana wako!
Hivi we ukoje?
Hivi we ukoje?
Kashfa,dharau na kejeli ndizo zilizomfanya azomewe na kwa kuwa wewe nawe una akili za ki CCM unafanya makosa hayo hayo ya kuwadharau watanzania kwa kuwaona hawana akili wanapodai haki zao,subiri tu utatoka mapovu sana kwani jeuri tunaiona,zilikuwepo jeuri za KANU Kenya,jeuri ya Gadafi,Saddam nini jeuri ya chama tawalaKuzomewa na Wendawazimu, Vichaa na Wehu ni Faraja sana kwa Profesa! Profesa chapa kazi kwa Jeuri ya Cham,a tawala Chama cha Mapinduzi
Katika hali isiyo ya kwaida jioni hii, waziri muhongo amepetwa na kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa. Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani wamachinga, walianza kumzomea kumuita chura! Chura! Chura! Chura! hali iliyompelekea Bw. Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari iliyokuwa ikumsubiria pembezoni mwa barabara. Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !
My Take:
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali
![]()
Dah hao wanatakiwa wachukuliwe hatua za kinidhamu, yaani wanamuita professor chura haha haha....Si mlaumu Prof shida ni kuwa bado hajui kuwa yeye kwa sasa sio mwalimu bali ni mwanasiasa kwa bahati mbaya analeta mambo ya shule UBABE hajui kuwa uku hakuna wa kumpa supplimentary.
Anyway maish ni kujifunza pia kuna kkujikwaa na kuanguka
mkuu umejaribu kumwangalia vizuri dk slaa usoni ndiye hasa anafanana na chura wala siyo muhongo waangalie vizuri wote halafu linganisha vizuri.
sipati picha 2015, kwanza huyu profesa si ni mbunge wa ikulu?, anajifanya mtu wa data wakati hakuna lolote niliwakubali sana manaibu wake the way walivyojibu hoja kwa ufasaha. just curious to know kama raisi atakayekuja atampa favour tena au ndo hivyo tena chukua chako mapema.