Waziri Muhongo azomewa!

Waziri Muhongo azomewa!

Kana majigambo sana kale ka jamaa,hivi ni kamtu ka wapi???
 
Hivi lile shamba alilotoa Mwl.Nyerere na kukabidhiwa kwa kanisa la Menonite kwa ajili ya kujenga chuo Pale Butiama lipo salama bwana Chura? Huyu ni ni mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa kanisa hilo.
 
Hivi uprofesa alipata wapi. Kasahau kabisa Kuwa elimu aliyopata ni kwa manufaa ya watanzania, nasi kuwakandamiza Kama anavyofanya yeye. Uongozi ni hekima siyo elimu. Muhongo inabidi abadilike kulinda heshima ya uprofesa wake
 
Kuzomewa na Wendawazimu, Vichaa na Wehu ni Faraja sana kwa Profesa! Profesa chapa kazi kwa Jeuri ya Cham,a tawala Chama cha Mapinduzi

fanyeni hiyo jeuri wakati munamalizia muda mchache kabisa mliobaki nao madarakani kabla hatujaizika ccm totally 2015.
 
Muhongo amewadhalilisha waalimu na wana sayansi kote duniani kutokana na mdomo wake mchafu. Rais Kikwete alimpa kazi kwa nia nzuri tu, lakini amefika amenza kumuaibisha.

Ras mwenyewe hana magambo wala dharau kwa sababu ni kiongozi wa watu. Lakini huyu mburula ni kenge kweli kweli. anadhani anaongeaga na mawe. Afadhali amebatizwa "FROG"

Anaipata frsh ya shamba mwaka huu
 
Mwampamba naye kazomewa leo mjini Tabora alipokuwa na mkutano wa CCM na magamba wenzie wenye lengo la kufifisha hoja za Zitto za M4C.
 
Bila shaka hawa vijana wa bodaboda watakuwa wanarefer huyu jamaa wa Ze Komedi. Na ule usemi wake wa Chureeeeee.......
Churaaaa.jpg
 
Hiyo churaaa ilimaanisha nini?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
http://t2.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQYnYLNZXHkqLnbpfPlVJxsyhCzqsX4o7JUqloVGz6qodWTVF_3[/IMG]

Mbona prof frog amevaa pensi sijui zambalau au nyekundu, amekosa ya kijani ama njano jamani, ama alitaka asitambulike.
 
Tatzo wanazomea,wanafanya vurugu alafu mwisho wa cku hawapigi kura pumbav chura ndo hao wenyewe wasiopiga kura 2015 amkeni bana.
 
Hivi uprofesa alipata wapi. Kasahau kabisa Kuwa elimu aliyopata ni kwa manufaa ya watanzania, nasi kuwakandamiza Kama anavyofanya yeye. Uongozi ni hekima siyo elimu. Muhongo inabidi abadilike kulinda heshima ya uprofesa wake


Yaani we acha tu, huyu ni profesa mzuri tuu, tena mkali kati ya maprofesa wa kisayansi barani Africa, Nimesikitishwa na kushangazwa na magamba ya CCM jinsi yalivo makali, hadi yamemchakachua profesa anaongea vitu vya hovyo kabisa akiona watanzania wenzie kama vile wote hamnazo! Kweli siasa si hasa! Hatimaye abatizwa Prof FROG!!!
 
sidhani kama ni ustaarabu wanaofurahi watambue kuwa nikizomewa mm leo kesho utazomewa wewe maana kaa ukijuwa maamuzi ya serikali hayawezi kumridhisha kila mmoja.
 
Katika hali isiyo ya kwaida jioni hii, waziri muhongo amepetwa na kadhia ya aina yake hapa Dodoma alipokuwa akitoka kwenye duka la madawa. Vijana ambao wanasadikiwa kuwa madereva wa Bodaboda na wachuuzi, yaani wamachinga, walianza kumzomea kumuita “chura! Chura! Chura! Chura!” hali iliyompelekea Bw. Muhongo kutembea kwa haraka kuelekea kwenye gari iliyokuwa ikumsubiria pembezoni mwa barabara. Baada ya kufika kwenye gari, waliondoka kwa kasi ya ajabu kuelekea ofisi za bunge huku vijana wakiendele akumzomea !

My Take:
Huu ni mwanzo mbaya kwa hawa viongozi wenye dharau na wakorofi wa CCM. Watazomewa sasa hivi mpaka watakoma. Huyu muhongo angejaribu kujifunza ustaarabu kutoka kwa Mawaziri wasaidizi wizara ya Nishati na madini waliomsaidia kujibu maswali

images

chura wa kihansi huyu anaishi amerikaaaaa
 
Back
Top Bottom