Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,804
- 12,251
- Thread starter
- #21
Kumpa Mwamnyange uwaziri ni kumdhalilisha! Wamwache apumzike kwa amani!!Toa Mwinyi ulinzi mteue Mwamunyange u bunge then minister
Toa Mwingulu home affairs weka Adadi.
Mwinyi weka Nishati...madini
Mwingulu weka bench.....ni maoni yangu na ukiniuliza kwa nini nifanye hivyo sina jibu sahihi la kukupa.