Waziri mpya wa nishati na madini atateuliwa lini?

Toa Mwinyi ulinzi mteue Mwamunyange u bunge then minister
Toa Mwingulu home affairs weka Adadi.
Mwinyi weka Nishati...madini
Mwingulu weka bench.....ni maoni yangu na ukiniuliza kwa nini nifanye hivyo sina jibu sahihi la kukupa.
Kumpa Mwamnyange uwaziri ni kumdhalilisha! Wamwache apumzike kwa amani!!
 
Toa Mwinyi ulinzi mteue Mwamunyange u bunge then minister
Toa Mwingulu home affairs weka Adadi.
Mwinyi weka Nishati...madini
Mwingulu weka bench.....ni maoni yangu na ukiniuliza kwa nini nifanye hivyo sina jibu sahihi la kukupa.
Adadi aliondondolewa jeshini kwa kashifa...... kamwe hawezi kupewa uwaziri hata wa utamaduni..
 
Kila wiki na "Kiki" yake.Tumejipanga mwaka huu wataisoma.Kiki mbele kwa mbele.
 
Kila siku najitahidi kusikiliza na kuangalia radio na tv zote za nchi kutaka kumfahamu nani ameteuliwa kuongoza wizara ya nishati na madini baada ya Prof. Muhongo kujiuzulu. Sijasikia wala kuona.

Ni lini mtu huyu atateuliwa ili kupunguza sintofahamu iliyopo wizarani hapo! Au hakuna mbunge ye yote wa CCM anayetosha kuongoza nafasi hiyo? Kama ni hivyo kwa nini asiazimwe kutoka taasisi nyingine?!

Tuliaaa wee una haraka sana kama cha kwanza.. Hadi sheria mpya na contracts mpya zisainiwe, waziri kwa sasa hakuna haraka, subiri Mh. Rais arekebishe wizara hii kwanza.. Umeelewa? Broiler
 
Tuliaaa wee una haraka sana kama cha kwanza.. Hadi sheria mpya na contracts mpya zisainiwe, waziri kwa sasa hakuna haraka, subiri Mh. Rais arekebishe wizara hii kwanza.. Umeelewa? Broiler
Subiri ubalehe kwanza siyo kudandia mambo!!!
 
Kila wiki na "Kiki" yake.Tumejipanga mwaka huu wataisoma.Kiki mbele kwa mbele.

Kama hujui maisha yote ya binadamu ni kiki endelea kukaririshwa kuwa kiki ni kitu kibaya. Hata mzee wako kumpata bi mkubwa wako ni kwa sababu ya kiki
 
Mpaka umeme ukatike nchi nzima kwa muda wa siku tatu ... Waziri atateuliwa
 
He
Kama hujui maisha yote ya binadamu ni kiki endelea kukaririshwa kuwa kiki ni kitu kibaya. Hata mzee wako kumpata bi mkubwa wako ni kwa sababu ya kiki
Nitolee upuuzi wako hapa.
 
Back
Top Bottom