Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Makonda ayakana makontena ya Paul Makonda bandarini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tatizo ni kwamba mzigo umeingia kwa jina la Paul Makonda wakati Tanzania hatuna mtu anaefahamika kwa jina hio..
Tanzania tuna DAUDI ALBERT BASHITE sasa hayo makontena hayafahamiki ni ya nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bill of lading
noun
a detailed list of a ship's cargo in the form of a receipt given by the master of the ship to the person consigning the goods.
Go back to school ......in Trump's voice
Shule yako we mwenyewe ni google...huna jipya
 
Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
MPAKA ALETE CHETI CHA KUZALIWA...CHAKE NA MDOGO WAKE
 
Unaijua bill of lading wewe?
Kwa hiyo bill of lading ndiyo imeandikwa kuwa Makonda ayakane makontena at first, then baadae ayakubali na kuanza kulialia akwepe KODI? Mkuu, KODI ilipwe achukue mzigo wake, period! Tukianza huu utaratibu wa kila kiongozi kuwatumia diaspora kuleta vitu free of tax, tutakuwa nchi ya ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namsubiri Mkuu wa nchi aongee ila kati ya hawa wawili mmoja atalia
 
Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Hizo samañi ni kitu gani bhana, vichwa vya train vilikataliwa na serikali ikavinunua, sasa hapa tatizo ni nini?
Watu wasitafute kutajwa majina kila siku bila sababu ya msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko ndiko kujitoa ufahamu
Jamani Makonda kafanya hivyo kwa manufaa ya wana Dar es salaam , tunaomba asaidiwe ili elimu iende mbele , tuache kukwamishana serikali yetu ni moja koteina hizo zikiuzwa bado hela itaenda serikalini kununua madawati kulipa walimu na kujenga shule pia. Muheshimiwa Rais ingilia kati suala hili maana tutakacho ni maendeleo tu . Serikali isimamie kuangalia hizo samani zinaenda katika shule gani na usiwepo mchezo mchafu.
 
Back
Top Bottom