Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Kwa hiyo wewe na Mpango nani yupo kwenye nafasi ya kueleweka kwa hili sakata?!
So far haijulikani nani alituma huo mzigo, haijulikani nani ni mnufaika (shule zipi)! Msitumie kichaka cha umasikini wa shule zetu kufanikisha masuala yenu ya kimafia.
Huyu mnae mtetea, alikana haya makontena, leo kaibukia kanisani kulialia!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani wewe mpaka leo hujui mnufaika ni shule za serikali dar .mkuu you cant be serious, ila sikulaumu uwe unaangalia channel ten japo hatuipendi.tatizo mi sio mwenyeji wa dar ningekutajia shule na ofise zilizojengwa hua zinaoneshwa pale channel ten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi naona kuna mmoja wao kaandika batua ya hujiuzulu kwa mtindo mpya tusuburi mjibu bac sawa
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga

Kwanza elewa TRA HAZAWAHI KUAZIGA MZIGO LAKINI HUWA AUZA MIZOGO MARA NYINGI kwa uelewa mdogo kama wako, PILI TRA HAWAHUSIKI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA KITU CHOCHOTE ISIPOKUWA KUKUSANYA MAPATO, hivyo SI KAZI YA TRA KUKAA NA KUBADILI MANIFEST...siku zote mtu aliye SERIOUS HUWA ANALIFANYIA UTAFITI JAMBO KABLA YA KULIENDEA. HIVYO SUBIRI TRA WAUZE ZILE SAMANI.
 
watamuuzia nani?
 
Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Name of Importer ni muhimu sana, Tax exemption hutolewa kwa wanaoruhusiwa na sheria...
Plse ukumbuke hilo...
[emoji3] [emoji3] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
Mkuu Containers si za Organisation kama documents zinavyosema. Ni za mtu binafsi so hilo tayari ni kosa. Alikuwa na nia nzuri lakini alishindwa kuomba ushauri namba ya kuziingiza bila kulipa ushuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom