Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Makonda analengo zuri na sekta hii lakini waziri anaanza kumpiga vijembe mkuu wetu wa mkoa tena mbele ya vyombo.
 
Documents zinafanyiwa alterations
Kwa sababu haupo kwenye tasnia ya clearing and forwarding huwezi jua
Bahati mbaya mimi Ndio field yangu mkuu,alifanya technical mistake hakuna namna anaweza kupata exemption.Ulishawahi kujiuliza Kwann wenye magari yanayopigwa Mnada bandarin Kwanini wasiombe exemption ili wayapeleke hospitalini,au taasisi nyingine wapate thawabu kuliko TRA kuyauza?
 
mmmh!!!!! 😵😵😵 mie hata sijui kusema kweli!!!!
basi taarifa ikufikie kuwa ule ni msaada toka watanzania waliopo marekani,kwa shule za msingi zilizopo Dar es salaam
 
basi taarifa ikufikie kuwa ule ni msaada toka watanzania waliopo marekani,kwa shule za msingi zilizopo Dar es salaam
Heee kumbe ni msaada kutoka kwa akina Da' Mange Kimambi!!!!!
 
Bahati mbaya mimi Ndio field yangu mkuu,alifanya technical mistake hakuna namna anaweza kupata exemption.Ulishawahi kujiuliza Kwann wenye magari yanayopigwa Mnada bandarin Kwanini wasiombe exemption ili wayapeleke hospitalini,au taasisi nyingine wapate thawabu kuliko TRA kuyauza?
sawa field yako,hakuna change of consignee name?
 
Unaijua bill of lading wewe?
Iko very unclear zaidi ya kutaja taja WATANZANIA wanaoishi nje, receiver ni Mr. Makonda! Fine, RC hajui utaratibu wa kuomba msamaha wa KODI? Analilia nini makanisani? Kama alihitaji yapite bureeeee ange - organise tangu awali na wizara husika, Serikali ingeona hakuna wingu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Hii picha haijaisha na kuna mmojawapo itamwishia vibaya na mzani ni kama unalalia kwa Mpango, once again tutasema makonda anabebwa lkn wanapaswa kuangalia mwathirika au mfaidika wa mwisho ni nani. Muda utaamua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko very unclear zaidi ya kutaja taja WATANZANIA wanaoishi nje, receiver ni Mr. Makonda! Fine, RC hajui utaratibu wa kuomba msamaha wa KODI? Analilia nini makanisani? Kama alihitaji yapite bureeeee ange - organise tangu awali na wizara husika, Serikali ingeona hakuna wingu.

Sent using Jamii Forums mobile app
yote yamefanyika,zishaandikwa barua za kujaza begi zima
Utaratibu ni huo hapo juu usome je mzigo una qualify au hapana?
 
Mwambieni bashite alipie hayo makontena kuwatuma huku haisaidii hii ndio athari ya kuteuliwa kwa sifa ya kuwa na tako zuri badala ya elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure

Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali

Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati

Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi

4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:

 In the case of religious organisation, the advancement of religious

 Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.

 The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.
aliomba kwa wadhfa wake au kwa lile jina la mkopo? tuanzie hapo[emoji12] [emoji574]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom