Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Waziri Mpango unachelewesha Mpango wa Elimu bure

Jamaa yako mwanzoni akisema haufahamu kabisa huo mzigo,...all over sudden anataka watu walaaniwe na Mungu wake kisa wanauza mzigo asioutambua
....mwambie alipe kodi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mzigo umewasili bila ya yeye kupewa nakala za importation dpcuments,lazima akane
Hata hivyo haiondoi umuhimu wa huo mzigo kupelekwa mashuleni
 
Kama mzigo umewasili bila ya yeye kupewa nakala za importation dpcuments,lazima akane
Hata hivyo haiondoi umuhimu wa huo mzigo kupelekwa mashuleni
Vip yale makontena 16 yaliyotolewa yako wapi mkuu ?
....unaweza ukanitajia ule mzigo umeenda shule zipi kwa majina..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama vilikuwa vitu vya misaada kwanini vitumwe kwa jina lake na sio taasisi ili iwe rahisi hata kupata msaada wa kusamehewa kodi
 
Umetumwa na Makonda kuja kumtetea?! Fuata taratibu za nchi zinavyotaka.
 
MKUU kabombe

Kumtetea Makonda inahitaji Moyo ,kiufupi Jamii hajitambui kwa nafasi yake hajui azungumze nini na kwa wakati gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enheeeee,kwa nini TRA wasikae pamoja wakabadili manifest?haizidi dola kumi kwa bill of lading
Ndio hapo hoja yangu inapata nguvu,hawamuelewi Rais,na alishawahi hili kulizungumzia wizara ya viwanda na NEMC kupigana munda za kijinga
Umekazania bill of lading ndo kitu gani? Nyie majamaa ya lumumba ni vilaza sana yaan mkikaririshwa kitu kwenye vijiwe vyenu vya kahawa mnabeba tu bila upembuzi
 
MKUU kabombe

Kumtetea Makonda inahitaji Moyo ,kiufupi Jamii hajitambui kwa nafasi yake hajui azungumze nini na kwa wakati gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo haliondoi umuhimu wa zile samani kwa shule zetu
Serikali inatoa bilioni 17 kila mwezi kwa ajili ya elimu bure,wamejitokeza watu wameunga mkono jitihada za Rais,tunawekeama mizengwe
 
Umekazania bill of lading ndo kitu gani? Nyie majamaa ya lumumba ni vilaza sana yaan mkikaririshwa kitu kwenye vijiwe vyenu vya kahawa mnabeba tu bila upembuzi
Mkuu jielekeze kwenye hizo taratibu za kisheria,kuishambulia lumumba haikusaidii kitu
 
Mkuu jielekeze kwenye huo utaratibu wa kisheria kuhusu msamaha wa kodi hapo juu halafu uanze kuharisha humu
Una utapiamlo wa logic mkuu,n document gani inaonesha hayo makontena ni msaada kwa shule?Mzigo ni documented Paul Makonda na ni mtu binafsi sio taasisi.
Suala kwamba anapeleka shuleni au la hilo analo kichwani mwake.Serikali haifanyi kazi kwa Kusoma ubongo wa mtu bali.

Hata taasisi za dini zinaagiza vitu kama magari lakini sio kwa jina la Askofu Wala sheikh bali taasisi.
Watu wapuuzi Kama wewe Ndio washauri wake mnaompotosha.Unakwepa Kodi unalia kanisani!Yesu mwenyewe alisema ya kaisari Mpe kaisari,alipe Kodi.
 
Masikini wafanyakazi wa ndani wa Makonda wanahangaika mtaani wakihofia boss wao kutimuliwa kazi na wao wataishije mjini.
Wote mnaotaka Dk Mpango akae chini na Bashite mngeanza kumshauri akae na Mpango kama Wazir mwenye dhamana kabla ya kuagiza hayo madude yake, lakini kwa kiburi chake akingozwa na washauri mazuzu kama nyinyi akaagiza tu tena ka jina lake bila taarifa akijua kwasababu anajulikana basi watu watamuogopa. Sio serikali yenu iliyokataa michango isiyokuwa na maana? Kama hao wanaojiita marafiki wa Bashite wanayo nia ya kusaidia kwanini wasinunue hapa nchini kama tulivyochangishana kwenye madawati bila kuagiza nje?
Wakati magari ya kubebea wagonjwa na yale ya polisi yalipokamatwa mkamshangilia mkamataji na kujisifu HAPA KAZI TU bila kuhoji kuwa yale magari si yameletwa kwa ajili ya huduma?
Halafu kumbe mnajua maana ya BUSARA linokuja kwa Makonda ila kwa wengine sheria ifanye kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una utapiamlo wa logic mkuu,n document gani inaonesha hayo makontena ni msaada kwa shule?Mzigo ni documented Paul Makonda na ni mtu binafsi sio taasisi.
Documents zinafanyiwa alterations
Kwa sababu haupo kwenye tasnia ya clearing and forwarding huwezi jua
 
Jielekeze kwenye utaratibu hapo juu hata kama kungekua na shanga,je zinapswa kupata msamaha?
Usitake kuaminisha watu kuwa kuna madawati wakati ni samani za ofisini!Baada ya kuweka hilo sawa,nikuulize swali!Samani hizo zinachelewesha vipi elimu bure?Nakumbuka sera ya elimu bure haihusiani na samani za ofisini bali mtoto asilipe ada wala michango ya madawati!
 
Elimu bure haitakua na maana kama walimu watakosa sehemu sahihi ya kusahihisha madaftari ma kuandaa mitala na mitihani
sasa hivi walimu wanatumia madarasa na madawati ya wanafunzi kama ofisi zao,hiyo elimu bora itatoka wapi
Elimu bure haitakua na maana kama hao watoa elimu wanasahihisha madaftari na mitihani kwa kuweka pajani
 
Yalikuwa Makonteina ya PAUL MAKONDA au ya MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM?
 
Elimu bure haitakua na maana kama walimu watakosa sehemu sahihi ya kusahihisha madaftari ma kuandaa mitala na mitihani
sasa hivi walimu wanatumia madarasa na madawati ya wanafunzi kama ofisi zao,hiyo elimu bora itatoka wapi
Elimu bure haitakua na maana kama hao watoa elimu wanasahihisha madaftari na mitihani kwa kuweka pajani
Hiyo ni nadharia yako,ngoja jpm atoe bil 20 halafu wewe mkuu wa shule ukanunue samani za ofisini!
 
Back
Top Bottom