Ni dhahiri kwamba Rais aliposema kuna mawaziri hawamuelewi,alikua analenga watu kama Dk Mpango ambaye bila aibu anapingana na nia njema kufanya elimu bure
Mkuu wa mkoa kaomba msaada wa madawati na samani,watanzania wakachangishana wskatuma mzigo kwa ajili ya shule za serikali
Haiingii akilini serikali hiyo hiyo inazuia vifaa kupelekwa kwenye shule zake
Itakuwa vizuri basi TRA wakataifisha makontena hayo wakagawa hayo madawati
Kwa wale wanaosema samani lazima kodi,huu hapa ni utaratibu ambao Mpango hautaki kwa sababu zake binafsi
4. Items qualifying for tax exemption Goods or Services intended to be used solely by the Organisation or Institution subject to the following limitations:
In the case of religious organisation, the advancement of religious
Use by the organisation or institution in the excution of its functions and for relieving persons from the effects of natural
calamities, hazards or disaster.
The development, maintenance or renovation by the organisation of projects relating to health, education, training,water supply, infrastructure or any other projects relating to advancement of community.