Waziri Mpango: Serikali ipo katika majadiliano ya IMF kuhusu ripoti ya Tanzania

Waziri wa Fedha, Dkt. Phillip Mpango amelieleza Bunge leo mjini Dodoma kuwa Serikali iko katika majadiliano na IMF kuhusu ripoti ya Tanzania na kuna siku 14 za kujadiliana kufuatia wataalamu waliotumwa awali kutozingatia hoja za upande wa Serikali kama ulivyo utaratibu.
Hahahahaha
 
Nimenukuu tu kipengele
 
Attachments

  • Screenshot_20190423-124000~2.png
    Screenshot_20190423-124000~2.png
    42.7 KB · Views: 26
Something must have gone wrong somewhere. Haiingii kichwani ndani ya miezi mitatu hesabu ziteremke kutoka wastani kwa mwaka wa 7% hadi 4% bila kuwa na tukio kubwa (janga) lililotokea, hususani vita au "a big natural disaster". Tetemeko la Kagera kamwe haliwezi kuwa sababu. So what had happened in that period to justify for that sharp decline of these statistics? Ndiyo maana wajumbe toka IMF wako hapa kwa majadiliano na maafisa wetu wa BoT.

Tukumbuke katika kipindi hiko kulitokea mabadiliko ya uongozi wa juu wa BoT baada ya Gavana wake, Prof Ndulu kustaafu kwa mjibu wa sheria. Inawezekana hand-over ilikuwa haijakamilika vizuri wakati maofisa wa IMF walipotutembelea. Tuwe na subira ukweli utajulikana baada ya tathmini mpya ndani ya siku 14 kama alivyoahidi Mh. Mpango.
Kumbe bado kuna watu hawaoni majanga yanayotokea nchi hii?.yanayotokea sasa hivi ni zaidi ya tetemeko!!
 
Kuna vitu viwili kwenye hoja yako, ambapo kimoja ni sahihi na kingine si sahihi. Mosi kama tukichukuwa kuwa hoja ya Serikali uchumi unakuwa kwa zaidi ya 6% basi hoja ya IMF ya 4% inatkuwa si ya kweli. Na kama ukichukulia hoja ya IMF ni sahihi basi kwa upande wa pili basi takwimu za Serikali si sahihi na hivyo basi kuna kupikwa kwa data ili kuonyesha wananchi tupo na muelekeo mzuri.
Ila kwa maoni yangu, IMF huwa hawadangani tuliona ya Zimbabwe na kwa mataifa mengine mengi tu
 
Kumbe bado kuna watu hawaoni majanga yanayotokea nchi hii?.yanayotokea sasa hivi ni zaidi ya tetemeko!!
magu kila siku anazidi kushushuka.niliona reaction za watu wengi baada ya kupatikana Mo alivyotekwa wananchi wengi waling'amua kua jiwe ndo alitenda.day after hadi leo wanajua kua jiwe si lolote hana jema yupo pale kujinufaisha na anatumia mabavu kutuogopesha na kwa kweli hadi anaondoka atakua ameishafanya uharibifu mkubwa kwa nchi yetu.hasara atayoacha ni kubwa kuliko watawala waliopita
 
Viongozi wachumia tumbo..mafisadi wanaogopa kuanikwa wazi,..kama mwajiamini kwanini muogope sasa..ndio mana Ripoti ya CAG mmetulia tuli kama hamuioni kumbe mjaa ufisadi..

Mwogopeni Mungu,Ogopeni kodi za wavuja jasho wa Tz.
Simamieni haki na kweli...mjisahihishe

Nchi yetu sote hii.

JPM, katika ubora wake, Bunge kukataa kufanya kazi na CAG, Kuminya demokrasi, kukataa repoti ya IMF, Halafu mnaita wawekezaji, Nani atakuja kuwekeza na upuzi huu
 
Something must have gone wrong somewhere. Haiingii kichwani ndani ya miezi mitatu hesabu ziteremke kutoka wastani kwa mwaka wa 7% hadi 4% bila kuwa na tukio kubwa (janga) lililotokea, hususani vita au "a big natural disaster". Tetemeko la Kagera kamwe haliwezi kuwa sababu. So what had happened in that period to justify for that sharp decline of these statistics? Ndiyo maana wajumbe toka IMF wako hapa kwa majadiliano na maafisa wetu wa BoT.

Tukumbuke katika kipindi hiko kulitokea mabadiliko ya uongozi wa juu wa BoT baada ya Gavana wake, Prof Ndulu kustaafu kwa mjibu wa sheria. Inawezekana hand-over ilikuwa haijakamilika vizuri wakati maofisa wa IMF walipotutembelea. Tuwe na subira ukweli utajulikana baada ya tathmini mpya ndani ya siku 14 kama alivyoahidi Mh. Mpango.
Una argue kwa kututathmini normal economic trend, hujajaribu kuwa za nje ya box?

Je umeiona partial report/ sijui kama ni partial nawaza tuu, kuwa zimeprintiwa noti je hiyo pia husubiri muda kuwa na changes kama unavyo doubt? Case study meltdown za Uganda, Zaire a.k.a Congo Dr and zimbabwe?

You do the printing the next day you have the basket shopping!!! Hebu waza kwa murtadha huko!
 
Something must have gone wrong somewhere. Haiingii kichwani ndani ya miezi mitatu hesabu ziteremke kutoka wastani kwa mwaka wa 7% hadi 4% bila kuwa na tukio kubwa (janga) lililotokea, hususani vita au "a big natural disaster". Tetemeko la Kagera kamwe haliwezi kuwa sababu. So what had happened in that period to justify for that sharp decline of these statistics? Ndiyo maana wajumbe toka IMF wako hapa kwa majadiliano na maafisa wetu wa BoT.

Tukumbuke katika kipindi hiko kulitokea mabadiliko ya uongozi wa juu wa BoT baada ya Gavana wake, Prof Ndulu kustaafu kwa mjibu wa sheria. Inawezekana hand-over ilikuwa haijakamilika vizuri wakati maofisa wa IMF walipotutembelea. Tuwe na subira ukweli utajulikana baada ya tathmini mpya ndani ya siku 14 kama alivyoahidi Mh. Mpango.
Tulia ndugu. Hesabu zilikuwa zinapikwa na hazikuwa halisi.

ndio maana tunaambiwa uchumi wa Tz ni wa tatu bora Afrika. Wakati sisi walala hoi tutaabika na kuchakaa.

Mimi ninaunga mkono ni bora tuwe na 2% ya kukua kwa uchumi wetu kuliko kujidanganya na manamba makubwa makubwa.

Tukubali tu. Uchumi wetu si kama vile tunavoutangaza.

Hauwezi uchumi ukakua kwa kiwango hicho wakati shilingi yetu ni DHAIFU kupindukia.
 
Waziri wa Fedha, Dkt. Phillip Mpango amelieleza Bunge leo mjini Dodoma kuwa Serikali iko katika majadiliano na IMF kuhusu ripoti ya Tanzania na kuna siku 14 za kujadiliana kufuatia wataalamu waliotumwa awali kutozingatia hoja za upande wa Serikali kama ulivyo utaratibu.
Ingekuwa imetolewa na taasisi Kama twaweza serikali ingekua imeshafunguliwa kesi ya uchochezi na upotashaji, hapo hapo utasikia msema kweli mpenzi wa mungu. Sasa wafungulieni IMF kesi ya uchochezi
 
Waziri wa Fedha, Dkt. Phillip Mpango amelieleza Bunge leo mjini Dodoma kuwa Serikali iko katika majadiliano na IMF kuhusu ripoti ya Tanzania na kuna siku 14 za kujadiliana kufuatia wataalamu waliotumwa awali kutozingatia hoja za upande wa Serikali kama ulivyo utaratibu.
Ni nchi ngapi dunia zinafanya kama hivi ambavyo Tanzania inafanya ?
 
Back
Top Bottom