Hassan r rwitita
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 187
- 69
Putin angekuwa na supika kama ndugai angepeta ssna
huku kwetu chama kule mutu mmojaNi sawa tu..mbona sisi CCM ipo tangu mababu..na haina mpango wa kutoka....au tofauti ni nn??
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo 2024 atagombea tena?2008-2012....Putin aliamua kuweka madarakani kama Rais , ili kutoa nafasi yake tena yakua Rais ...
Ndo maana 2012 ..Putin akarudi kua Rais, na Medvedev akarudi kua Waziri mkuu
Putin yupo kwa Urais toka 1999/1/31
Kama umefatilia Speech yake kwa Feds ,Jamaa anatengeneza mazingira yakuendelea kuiendesha Russia hata baada ya muda wake kuisha 2024 , ndo maana Medvedev kajiuzuru.
Putin ni mwamba wa Mashariki anayeleta equilibrium katika universe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ni rais wa wapi chief?Hana tofauti na mbowe ,,,anaminisha watu akiingia mwingine atakuwa kibaraka was America
Sent using Jamii Forums mobile app
... Rais wa maisha sawasawa na Kim sawasawa na Jinping! Wametiana ujinga. Ndio mamifumo ya kijamaa hayo japo wa kinadharia.
WA haiMbowe ni rais wa wapi chief?
Ni sawa tu..mbona sisi CCM ipo tangu mababu..na haina mpango wa kutoka....au tofauti ni nn??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono chiefPutin ajasema kuwa anataka kuwa waziri mkuu ajaye, yeye kasema lazima wafanye marekebisho ya katiba ili kumpunguzia nguvu Rais na nguvu kubwa iwe kwenye bunge.
Ni jambo zuri sana analotaka kufanya maana angekuwa na nia ya kutaka kuendelea kuwa na nguvu basi nguvu asingeamua kurudisha nguvu kwenye bunge.
Yeye anataka bunge liwe na nguvu ya kumchagua waziri mkuu, mawaziri wote na viongozi muhimu katika nchi.ni wazi kabisa Putin anajua kwa katiba iliyopo sasa kama akitokea chizi akapewa nchi basi itakuwa balaa.Nafikiri hata baba wa taifa alishaga sema kuwa hii katiba ni nzuri kwa kiongozi anayejielewa, ila kwa chizi basi ni balaa
Sent using Jamii Forums mobile app