Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais

ukiangalia hesabu za wamagharibi ilikua nikuhakikisha wanaisambaratisha Urusi kupitia mapandikizi kama ulivokua kwa Mikhail Ghobachev alivyoivunjavunja USSR ..
Putini anataka kuwa Waziri Mkuu mwenye nguvu kuanzia 2024, nachokiona Russia hawaaminiani wale ambao wako katika baraza la Usalama la nchi, wameshindwa kumpata Mrithi/ Mbadala wa Putini kwa maana hiyo Putini ni Russia hadi atakapofariki
Putin ilo analijua sana... Sasa mwendo niyeye kuwepo tu ..

Nkm hapa bongo kwetu, Jinsi JIWE atakavyofanya mambo yake
 
ukiangalia hesabu za wamagharibi ilikua nikuhakikisha wanaisambaratisha Urusi kupitia mapandikizi kama ulivokua kwa Mikhail Ghobachev alivyoivunjavunja USSR ..Putin ilo analijua sana... Sasa mwendo niyeye kuwepo tu ..

Nkm hapa bongo kwetu, Jinsi JIWE atakavyofanya mambo yake

Balance of power duniani, uwepo wa Rusia imara inafanya USA awe na adabu na kupunguza kibri
 
Ni kweli,unaona mapendekezo yake yanataka waziri mkuu ajaye awe na nguvu zaidi ya rais kama Israel. Wana akili sana hawa jamaa
Katiba ya Urusi inasema rais atatawala kwa vipindi viwili kama atachaguliwa, haisemi kama inamkataza baada hivyo vipindi viwili akakaa pembeni halafu akarudi tena kugombea

Hivyo Putin alitumia loophole hiyo ya katiba kutosema chochote kumlataza rais anayemaliza vipindi vyake viwili akakaa pembeni na baadaye kurudi tena kugombea.
Kipindi kile akamuandaa Dmitry Medvedev kuwa rais lakini kabla akahamishia nguvu na mamlaka kubwa kwa waziri mkuu halafu yeye akaenda kuwa Waziri mkuu halafu Dmitry Medvedev akawa rais lakini asiye na nguvu, hata wakuu wa nchini walipotaka kukutana na mkuu wa nchi ya Russia, walikutana na Waziri mkuu Putin.

Wakati Dmitry Medvedev anaelekea ukjngoni mwa utawala wake, Putin akaenda tena Bungeni kuhamisha madaraka kutoka kwa waziri kwenda kaa rais akijua atashinda tu.
Hivyo anachokifanya hivi sasa ni marudio tu na binafsi nilikitarajia sana.
NDIYO MAANA NIKASEMA PUTIN HAIVUNJI KATIBA BALI ANAIPIGA CHENGA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa nao ni marafiki chanda na Pete,wanatumia formula ya "nikune mgongo wangu namimi nikukune wa kwako".
Huyu Putin huwa anaifanya Russia kama kaiumba yeye anageiuza geuza kama anakaanga samaki kwa jinsi anavyofikiri na huyu Medvedev kila anachopangiwa kwake hewala bwana mkubwa, akiambiwa utakuwa rais sawa, utakuwa waziri mkuu sawa utakuwa katibu wa usalama kwake hewala ili mradi mambo yake yanakwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajitadi,sema tu vikwazo vya US na uwekezaji mkubwa kwenye masuala ya ulinzi. Kumbuka,kila wakati Urusi lazima waendelee kuwa kitisho kwa NATO ili awe salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwekezaji katika ulinzi ni muhimu kwao. Bila hivo wangekuwa hawapo tungebaki na stori kama ya Yugoslavia. Ikitokea wakaona umuhimu zaidi wa private sector na innovation watapiga hatua kubwa zaidi. Then ikitokea mafuta yakapanda hizo fedha za ziada najua sahivi wataziwekeza vizuri zaidi.
 
Nchini Urusi, waziri mkuu Dmitry Medvedev amewasilisha barua ya kujiuzuru kwa Rais Vladmir Putin. Dmitry Medvedev ameridhia kuchukua nafasi mpya katika masuala ya Ulinzi na Usalama nchini humo, na hii imetokea baada ya Rais wa Urusi Vladmir Putin katika ripoti yake ya mwisho wa mwaka kueleza kuwa atafanya mabadiliko katika mfumo wa kisiasa nchini humo.

Raisi Vladmir Putin amesema kuwa bunge linapaswa kuwa na nguvu ya kuchagua Waziri mkuu wa nchi hiyo, lakini pia amesisitiza ni hilo lisizuie Raisi kuwa na nguvu pana katika uendeshaji na usimamizi wa serikali.
Maandamano yaliibuka mwaka jana, hii ni baada ya wagombea wa upinzani kuzuiliwa kushiriki chaguzi ndogo nchini humo. Waandamanaji hawa walipinga na kutaka kuwepo kwa marekebisho katika mfumo mzima wa siasa nchini humo.

Maoni yangu: Raisi Vladmir anajaribu kutransition kwenda kwenye mfumo ambao unafanana na China, yasni kuwa na counsel yenye mamlaka na final say hivyo kumwondolea Raisi nguvu na kuipa hiyo counsel nguvu ya kumwondoa au kuweka mtu inayoona atafaa. Nadhani ni maandalizi ya Raisi Putin hata atakapoachia kiti cha Uraisi bado abaki kuwa mwamuzi mkuu wa masuala muhimu Urusi. Ni mawazo na maoni yangu.View attachment 1325162

image_search_1579190512908.jpeg


Don't hunt what you can't kill.
 
UPDATE: Russia's Putin confirms Mikhail Mishustin as new prime minister.

====

Russian President Vladimir Putin on Thursday signed a decree appointing Mikhail Mishustin as prime minister, shortly after the former head of the tax service won the backing of parliament.

1579190688493.png


The State Duma, the lower house of parliament, gave its backing to Mikhail Mishustin, a 53-year-old with almost no political profile, endorsing his nomination with 383 votes of 424 cast. Nobody voted against him; there were 41 abstentions.

Mishustin’s elevation is part of a sweeping shake-up of the political system announced by Putin on Wednesday, which led to the resignation of Dmitry Medvedev as prime minister along with his government. [Reuters]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom