Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

Endelea kuota ndoto!!

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Walikuwa wanaambia watu gani hapo?
Wana waisraeli je wewe haikuhusu agizo hilo alafu uniambie na hili katika Kumbukumbu 6:4–5:
“Sikia, Ee Israeli: Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote...”
 
Bure kabisa wewe!!! Toka lini Wafuga Midevu na Majini wanajua Biblia?
Sasa ndiyo uniambie wewe Mwenyewe Roho mtakatifu
Je amri hii ilifutwa au aiwahusu Katika Walawi 19:27,
"Hamtakata ndevu zenu kwa umbo la duara, wala hamtavunja pembe za ndevu zenu."
 
Sasa ndiyo uniambie wewe Mwenyewe Roho mtakatifu
Je amri hii ilifutwa au aiwahusu Katika Walawi 19:27,
"Hamtakata ndevu zenu kwa umbo la duara, wala hamtavunja pembe za ndevu zenu."
Kama Mazinge alishindwa kuifasiri Biblia wewe ni nani hata uweze?
 
Wana waisraeli je wewe haikuhusu agizo hilo alafu uniambie na hili katika Kumbukumbu 6:4–5:
“Sikia, Ee Israeli: Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja. Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote...”

Mkuu tofautisha wakristo na wale wengine:

Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

Tambua hata Messiah aliwapiga chini Mafarisayo.

Anajinasibu na dini ipi mwenye kumchukia jirani yake?
 
Umedhihirisha chuki zako kwa waislamu mpaka kutuita mbwa! fanya ufanyavyo tukana utukanavyo ila tambua kifo hakikwepeki ewe mtetezi wa magaidi na mashoga, na mwisho tutalipwa kwa tuliyoyatenda, kama wewe ni muislamu na ukatenda mema/mazuri basi utaingia peponi, na ukafa hali yakuwa si muislamu basi jahannam ni makazi yako.
Ndio mnavyodanganyana huko msikitini?!
 
Back
Top Bottom