Lamine yamal UDOM
JF-Expert Member
- Aug 18, 2025
- 298
- 389
hahah kmmk,bado ayatollah tuNinyi endeleeni kujifariji na kujipa moyo!!! Leo hii mmepatwa na nini mpaka mseme hayo? Kwa nini mlishindwa kutangaza kipindi hicho? Hakuna kitu kama hicho hayo ni maneno ya kujifariji tu kuficha kipondo walichokipata askari wa IRAN baada ya kuuliwa Makamanda wake waandamizi 30+ na picha zao hizi hapo chini!!
Lakini Iran hawawezi kuonyesha picha za hao wanasema waliuwawa maana wanajua ni UONGO. Na kama wewe unaamini habari hizi ni za kweli basi tuwekee wewe picha za makamanda wa Israel waliouwawa najua huwezi maana ni uongo umemezeshwa!!!!