Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

Jirani zetu ni Sudan,Congo na si Waarabu wa kipalestina walijua ndugu zetu wawili!!!!

Wapumzike kwa amani ndugu zetu waliofia katikati ya mapigano ya kuyafukuza majizi kwenye maeneo ya wizi:

Tundu Lissu: Hamas Siyo Magaidi ila Wale waliopora Ardhi yao. Unayemuona Gaidi Wewe kwa Wenzako ni Mpigania Uhuru mfano Mandela!

Jirani zako Congo na Sudan? Mnafiki wee! Lini uliwaongelea hawa:

G17YNgOWcAAD4cW.jpeg

Au mliwahamishia kwa jirani zenu zaidi, Burundi?

Bure kabisa!
 
Haipo haja ya kumsumbua Antonio Guterres kutambua waliobakia humo ni aina ya vyura waiba chaguzi wa kwenu:

Israel counts 77 countries absent from Netanyahu’s UN speech after mass walkout | Full list inside

Kwani aina za Spain, Brazil, Cuba, South Africa, Kenya au hata Uganda tu, watabakia humo?

Bure kabisa!
Afadhali Tanzania hatukufanya ujinga huo! Mkosaji lazima umsikilize ili upate hoja ya kumrekebisha, si kumkimbia. Walioondoka ni sawa na kujificha chini ya kivuli Cha mti.
 
Afadhali Tanzania hatukufanya ujinga huo! Mkosaji lazima umsikilize ili upate hoja ya kumrekebisha, si kumkimbia. Walioondoka ni sawa na kujificha chini ya kivuli Cha mti.

Tofautisha kumkimbia na kumpuuza mawili hayo ni sawa kwa mbuzi wa mama peke yake!
 
Utampuuzaje hasidi? Wakicheza atazidi kuwabagaza, nadhani umeshuhudia leo

Wangapi waja leo tukijiridhisha twa-wa ignore vizuri tu? Au ungependa kuziona ignore lists za wadau tukiwaomba JF wasiwe hata wanaona mabandiko yetu?
 
Wangapi waja leo tukijiridhisha twa-wa ignore vizuri tu? Au ungependa kuziona ignore lists za wadau tukiwaomba JF wasiwe hata wanaona mabandiko yetu?
Ukikosa hoja ni lazima tu ukimbie na ndiyo maana walificha ujinga wao kwa kukimbia nje ya ukumbi kisha wakaenda kuiangalia hotuba hiyo kwenye Runinga na kwenye simu zao!!!
 
🇮🇷 | Hujjat al-Islam Ahmad Khatami, Imam Jumu’ah of Tehran: In the 12-day war of the Zionist regime against Iran, 800 Zionists were killed, but this news is being censored, and they do not even say that 30 of their commanders also went to hell.

🔹@enemywatch
 
Ile operation Gideon 2 ambayo wanajeshi laki moja waliingia Gaza vipi inaendeleaje? Mbona naskia fununu mnataka ceasefire? Kwanini operation isiendeleee ili Hamas wamalizwe? Echolima1
 
Ukikosa hoja ni lazima tu ukimbie na ndiyo maana walificha ujinga wao kwa kukimbia nje ya ukumbi kisha wakaenda kuiangalia hotuba hiyo kwenye Runinga na kwenye simu zao!!!

Tofautisha kumkimbia na kumpuuza. Ndiyo maana hata JF ina button mahsusi kabsa kwa wajumbe wasiojitambua kama yeye.
 
🇮🇷 | Hujjat al-Islam Ahmad Khatami, Imam Jumu’ah of Tehran: In the 12-day war of the Zionist regime against Iran, 800 Zionists were killed, but this news is being censored, and they do not even say that 30 of their commanders also went to hell.

🔹@enemywatch
Ninyi endeleeni kujifariji na kujipa moyo!!! Leo hii mmepatwa na nini mpaka mseme hayo? Kwa nini mlishindwa kutangaza kipindi hicho? Hakuna kitu kama hicho hayo ni maneno ya kujifariji tu kuficha kipondo walichokipata askari wa IRAN baada ya kuuliwa Makamanda wake waandamizi 30+ na picha zao hizi hapo chini!!

Lakini Iran hawawezi kuonyesha picha za hao wanasema waliuwawa maana wanajua ni UONGO. Na kama wewe unaamini habari hizi ni za kweli basi tuwekee wewe picha za makamanda wa Israel waliouwawa najua huwezi maana ni uongo umemezeshwa!!!!
 
Attachments

  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 12
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 8
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 13
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 7
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 11
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 8
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 10
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 8
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 9
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 9
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 9
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 10
Ile operation Gideon 2 ambayo wanajeshi laki moja waliingia Gaza vipi inaendeleaje? Mbona naskia fununu mnataka ceasefire? Kwanini operation isiendeleee ili Hamas wamalizwe? Echolima1
Hao wanajeshi łaki moja wewe umewapata wapi? IDF haiwezi ku-Misuse manpower yake kwa kitu kidogo kama hicho!! Kwa hiyo ka uulize tena aliyekudanganya kuwa kuna wanajeshi laki moja waliingia Gaza!!!

Ki kawaida na daima anayetaka Ceasefire ni yule anayepigwa kipigo cha Mbwa-koko ndiye a naye taka na wala si mwingine Israel inachotakiwa kufanya ni kuangalia Conditions za Ceasefire hiyo je zinakidhi matakwa yake au la???

Najua Unahamu sana kusikia anguko la Hamas wewe endelea tu kujifariji anguko hilo lipo na linakuja maana Operation Gideon Charriot-2 inaendelea!!
 
Tofautisha kumkimbia na kumpuuza. Ndiyo maana hata JF ina button mahsusi kabsa kwa wajumbe wasiojitambua kama yeye.
Ndiyo maana wazungu wanasema “If you can't handle the political heat stay out of kitchen.” ndiyo maana waliamua kukimbia nje!!
 
Ndiyo maana wazungu wanasema “If you can't handle the political heat stay out of kitchen.” ndiyo maana waliamua kukimbia nje!!

Huyo kama ni JF, basi alilambishwa "Ignore," Twitter "Tofali" tena la uso!
 
Back
Top Bottom