chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Na bado hapa ni padogo wakulima miwa yao wanayotaka kuwajengea uwezo haivunwi kesho!Too late tayar aibu walishaipata hakuna kipya raia washaumia na wanaendelea kuumia.
Tathmini upya? Aoneshe hiyo ya awali ilionesha nini?Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema licha ya kuingiza kiasi kingi cha sukari nchini ndani ya kipindi kifupi bado sukari ni ya bei juu, wamesema wana mpango wa kufanya tathini upya wa mahitaji ya sukari nchini na kuongeza uzalishaji wa sukari kwa kuongeza viwanda vilivyopo na kuviongeza ufanisi.
Amesema pia wana mpango wa kuongeza uzalishaji miwa na kuwajengea wakulima utaalamu na kanuni bora za uzalishaji.
Hivi kuna sehemu wameshaweka hata jiwe la msingi ujenzi wa kiwanda?Mwezi wa nane huu madarakani wanaangaika na sukari alafu kuna watu wanahubiri nchi ya viwanda na kodi...
Mwendo kasi