Hiram Abiff
JF-Expert Member
- Apr 14, 2013
- 896
- 676
Kwa majaaliwa ya mungu wataweza
Mbona hakukuwa na tatizo la sukari katika nchi hii? Kwani mlifanyaje Mr. PM?? tutanunua sukari kwa shs 4,000 mpaka lini? wanasema "Patience is the companion of wisdom....." lakini miezi inakwenda na hakuna mabadiliko!
Tulikurupuka ila tutafanya tathmin........
Kipi haswa kizur cha kumchanganya mtu... Hongera ww usiechanganyikiwa kwakua kwenu huko sukar 1800 .. Hv ww tangu serikali ianze kubana matumizi kipi ambacho umenufaika?? Kila kukicha gharama za maisha zinapanda.. Hv we unadham kodi ikipanda nani anaumia.. Kwel hiki chama cha kjan kishakupotezaNaona mnachanganyikiwa mkiona jinsi serikali inavyo viruka vihunzi.
Au Mbuta Likasu wa Congo brazaville...Majaliwa anafanana sana na Madilu wa Kongo...
da!!!! mkuu wewe huogopi kuwa nyumba yako itazingirwa?....hajitambui utafikiri pedeshee la kikongo kutwa kuongopa majaliwa anaweza omba wananchi samahani kwa kuwadanganya
mh!!! Aisee.....Au Mbuta Likasu wa Congo brazaville...