Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Teh teh teh! Dah jf kwa kweli kiboko yaani nimecheka sana leo yaani aya mambo bana
 
Jana pinda alikuwa mkoani lindi kikazi maonyesho ya 8/8
 
Mara baada ya mkutano mkuu wa ccm uliofanyika dodoma, waziri mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya waziri mkuu wakidai kuwa mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm.

Kilichotokea Dodoma ni ubaguzi, upendeleo na udhalilishaji wa hali ya juu kwa wagombea zaidi ya30. Hapa ndipo unapobaini aina ya uongozi uliopo. Uongozi ulioyopo Hau hauna furahi baada ya chagua lake kusulubiwa vigogo wengi wanasema na ya kheri imekuwa hivyo tungetumbukia kwenye miaka mwingine kumi ya Mateso.
 
Mmesahau kauli ya Mwandosya aliposema mkwele alikuwa na majina yake mfukoni kwa maana hiyo list ya waliosusa tukianza kuitaja hapa patakuwa hapatoshi
 
Hivi chadema wangejitokeza wagombea zaidi ya 40 mngekuwa mnaimba haya mnayoyaimba? Kama ukawa umepata taabu kusort kati ya watu wawili Lipumba na Slaa!! Wangekuwa 40 kama ccm ingekuwaje!? Unadhani nani angeachwa nani angechukuliwa!?

Kama ni majina ya mfukoni, mbona kwenye ukawa bwana mbowe alikuwa na jina lake la mfukoni "Lowassa" amemkata Slaa!!! Je Slaa hana maadili hadi akatwe hadi kususia chama!!!

Msiwe watu wa majungu na kulaumu tu.
 
Ukiambia USIGOMBEE na WEWE unangangania UTAKATWA TUU sasa kama hutaki kusikia na USUSE TU NA NYUKI ZAKO
 
Baada ya kukatwa na "Kitengo" kuashiria kuwa hana maadili unadhani atakuwa na moral authority ya kiutendaji tena kweli! Yaani kwa maadili kapitwa na naibu waziri Makamba halafu atamwongozaje? Mungu atuepushe lisitokee la kutokea linalohitaji maamuzi mazito ya pamoja kwani kwa sasa ombwe ni kubwa kuliko wakati wowote!

Eti kwenye kumseti JK alimuambia .." Tumeamua kikata wote wenye miaka 60 kuja juuu...bora wangetangaza Mapema wasichukue fomu"

Umri haumaanishi afya bora kwakuwa hata Huyu Magufuli ni compromise ndio lakini hakupita security vetting ya Ngazi ya Urais ...waliomfuatilia HAWAKUWEZA KUPATA TAARIFA ZA UHAKIKA ZA ASILI YA BABA YAKE ....zaidi mamma yake ndie ambaye kizazi chake hadi cha pili kiliweza kuwa traced ...kwa kuwa Sasa kapata ..ndio usalama wako busy kufuatilia lineage ya baba yake Magufuli ...

Kuhusu afya ...aliwahi KUPATA mshtuko wa moyo akatibiwa ujerumani kwa kuwekewa ..kifaa Maalum cha kusupport mapigo ya moyo ..wakati huko ilisadikika Kapewa hujuma ...hivyo ni Kati ya Vitu vilimfanya asipende Siasa ZA Ndani ya Chama
 
Philemon Michael,kudos mkuu kwa inputs muhimu!!,Pombe ni bar tu na Lumumba,mtaani na majumbani ni Lowassa!!
 
Last edited by a moderator:
Jumanne wiki iliyopita majira ya saa 5 asubuhi kama sikosei nilikutana na msafara wake njia panda ya four ways dodoma gari kama tatu anatoka mjini andaenda shambani kwdake maeneo ya zuzu ndio nikauliza wenyeji wakasema anashamba huko nikajiuliza kwa mwendo huu huyu ataweza kuwaambia kweli watanzania tuache uzembe
 
Back
Top Bottom