Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Mimi ningekuwa mwenyekiti WA ccm ningewaita wagombea wote WA ccm nafasi ya urais wakati magufuli akichukuwa form NEC watoe maneno yao.
WASIPOTOKEA AU akitokea 1 . Imeonekana afadbali hv hv kama wamesusa kisijulikane. kawaida ilitakiwa watoe neno lakini hali tete FUNIKA KIKOMBE.....
 
ImageUploadedByJamiiForums1438765489.845944.jpg

Pinda Jana alitakiwa kuhudhuria ....kuapishwa kwa watendaji wa ofisi yake ...chini ya wizara ya tawala ZA mikoa ..badala yake alichagua kuwa shamba
 
Liwalo na liwe ni lazima arudi tuuu, au akikataa avutwe tu kwani hamna namna nyingine.
 
Mara baada ya mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma, Waziri Mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya Waziri mkuu wakidai kuwa Mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM.

Hata ningekuwa mimi ningesusa tu.haiwezekani nimekuwa waziri mkuu for 8 years halafu leo rais huyo huyo ananiona sikuwa na maadili?!!!! bora ingetafutwa sababu nyingine ya kumkata Pinda na mzee Bilali lakini sio kigezo cha maadili.huu ni udhalilishaji mkubwa. kama kweli hakukuwa na agenda ya siri ya kumuingiza Membe na candidates ambao ni dhaifu ili yeye ashinde basi rais alitakiwa awe ameshawawajibisha siku nyingi sana makamu wake na waziri wake mkuu kwa kukosa maadili. Ila unafiki haujifichi kwani mwisho wa siku hata ile target ikaangukia pua.very very very interesting
 
Back
Top Bottom