Lakini jamani kwenye watu 32 wanaogombea nafasi 1 nani ashinde,,au na nyie mnaojifanya wasomi mnakengeuka,,cdm walogombea ni.wangapi km kweli kuna umakini kama sio kutuchanganya tusiokuwa na darasa...mshindi lazima apatikane kwenye competition yoyote ile na maana rais ni mmoja tu ,,sisi na wajinga kweli lakin wakati mwingine tunapapasa na kugundua kuwa wengi wenu ni mawakala wa hao mabwana zenu mnaowapigia debe.
Mkipewa mafuta mnalainiika na kuwaona wao ndo watakaoweza kutufikisha peponi wkati wana lundo la dhuluma hawajarudisha na wala hawajatubu,vp wawe ndo wanauwezo wa kutupa maisha mazuri.....
Nauliza tu niliacha shule darasa la 6 lakini jf nimo. Tz hakna msafi labda alotumboni tumuombe mungu tu atufanyie miujza ashushe roho takatifu miongoni mwa wagombea tupate salama......ni hayo tu hakuna msafi hapa...