Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

Baada ya kukatwa na "Kitengo" kuashiria kuwa hana maadili unadhani atakuwa na moral authority ya kiutendaji tena kweli! Yaani kwa maadili kapitwa na naibu waziri Makamba halafu atamwongozaje? Mungu atuepushe lisitokee la kutokea linalohitaji maamuzi mazito ya pamoja kwani kwa sasa ombwe ni kubwa kuliko wakati wowote!


Yaani!....inauma sana...mimi waziri mkuu namkubali sana kiutendaji na kimaadili.kusema kweli inauma sana kuona "kitengo" walimuona Makamba na wengine walioingia tano bora kuwa ni bora kuliko mtoto wa mkulima.....inauma sana.....nasema inauma sana na sina namna ya kuelezea maumivu yake....Ninaamini leo na kesho kwamba mheshimiwa waziri mkuu kwamba ni mtu anafaa kuingoza hii nchi na bado mchango wake kwa hii nchi unaitaitajika sana.
Nitoe pole kwako mheshiwa kwa kukatwa ila usikate tamaa....aluta continua.......
Ushauri unaweza kuuzingatia au la....
Kikubwa waziri mkuu sema mbwai ni mbwai tu.......ungana na Mheshimiwa EDO mlete mabadiliko ya kweli.
 
Mimi ningekuwa mwenyekiti WA ccm ningewaita wagombea wote WA ccm nafasi ya urais wakati magufuli akichukuwa form NEC watoe maneno yao.
 
Apigwe tu hadi akubali kurudi ofisini

Ah, mimi nami nasema na apigwe tu, maana kama mtu hata bosi wako kaondoa jina lako mfukoni mwake akawaweka awajuao yeye, nawe unaanza soo kwa kususia ofisi baada ya KUKATWA ukajifanya wewe ndio jeuri zaidi huingii ofini, inabidi ukatwe tu maana hakuna namna nyingine sasa.
 
Mara baada ya mkutano mkuu wa ccm uliofanyika dodoma, waziri mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya waziri mkuu wakidai kuwa mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm.

Asante kikwete kwa kutusaidia kuiondoa ccm, Pinda kalimetu maana hakuna namna nyingine
 
Kwa mawazo yangu nataka mwenyekigi wetu siku ya magufuli akilirudisha form ambatane na Sita, Mwandosya, Linda, Bilali, Mwakiembe, Mhongo na etc. Ndio kuna watu data jua ccm ni wamoja.
 
ImageUploadedByJamiiForums1438711848.205770.jpg
 
Humu kila mtu anaibuka kivyake bila hata source!
Duu !!
 
Ah, mimi nami nasema na apigwe tu, maana kama mtu hata bosi wako kaondoa jina lako mfukoni mwake akawaweka awajuao yeye, nawe unaanza soo kwa kususia ofisi baada ya KUKATWA ukajifanya wewe ndio jeuri zaidi huingii ofini, inabidi ukatwe tu maana hakuna namna nyingine sasa.

Nimejikuta nacheka tu
 
Na mm nasema bora amekatwa maana hamna namna nyingine
 
Hivi Pinda alidhani atakuwa rais kweli?
Mwambieni awahi ACT kama Lowassa alivyowahi Ukawa.
 
Maamuzi ya Dodoma Kwanza Yaliwadhalilisha Mawaziri Wakuu wote na Pia Makamu wa Pili wa Rais, Hawasemi tu ila

Wanamkuki Miyoni Mwao.

Hakukuwa na namna sababu walikosa maadili ilibidi wakatwe tu!
 
Kaenda kulima na kufuga!
 

Attachments

  • 1438714488461.jpg
    1438714488461.jpg
    119.2 KB · Views: 659
Pinda bado kuwa rais na apumzike tu mtoto wa mkulima. Ana shamba lake la maembe na miziga ya asali
Aendelezi kazi yake hatajutia
 
Pia ccm wasiangalie kususa kwa dr slaa hata kwao kuna wengi sana wamesusa.

Hana sifa yoyote nzuri au hata la kukumbukwa kwa miaka yake kumi ya uwaziri mkuu wake.Lipi alikuwa dhaifu kuliko aliemweka.Amshukuru sana kamanda Mbowe kumwacha usiku ule wa kuwawajibisha mafisadi wa escrow mle bungeni. Angekomaa nae asingesalimika na baraza zima lingeondoka tena.Ile lia lia ni danganya toto tu ni mpigaji mzuri kama walivyo wengine. Sasa kurudi kwake ofisini hata ungekuwa wewe ingekuwea vigumu. Uwe mtendaji mkuu wa shughuli za serikali kumbe kiongozi wako hana hata chembe ya imani nawe labda uwe na moyo wa malaika kama alio nao makamu wa raisi. Lakini pia yawezekana wanaogopa mafao na haki zao nyingine zisije athirika wakiongea wazi wazi wanavyojisikia.Hayo anayaweza mzee wa maamuzi magumu kamanda Lowassa.
 
Back
Top Bottom