Waziri Mkuu Pinda kasusa ofisi

TAWA

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
3,667
1,566
Mara baada ya mkutano mkuu wa CCM uliofanyika Dodoma, Waziri Mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya Waziri mkuu wakidai kuwa Mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM.
 
Unadhani kila mtu anakubali kufungiwa mkuu?
 
Attachments

  • 1438707100893.jpg
    1438707100893.jpg
    83.1 KB · Views: 6,050
Ila hajasikika sana popote tangu kikao kile katuni walimdondosha kwenye bench wakati wenzake watano wakishangilia na karatasi za tick. Siasa mbaya sana.
 
Ila hajasikika sana popote tangu kikao kile katuni walimdondosha kwenye bench wakati wenzake watano wakishangilia na karatasi za tick. Siasa mbaya sana.

Kama nape anabisha aje hapa aseme alipo waziri mkuu
 
Mara baada ya mkutano mkuu wa ccm uliofanyika dodoma, waziri mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya waziri mkuu wakidai kuwa mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm.

Ccm wanaumiza bwana na ni vizuri achane nao aje kwetu chadema home of democrcy
 
Narudia tena aya ndio mambo ya lizabon ya kuongea na si ukawa ya ukawa yataongelewa na yeriko yerere na wadau wengine wa ukawa
 
Maana hamna namna nyingine, ASUSE TU maana sasa tumechoka.

Nampenda sana Mh. Kikwete amekuza democrasia nchini atakumbukwa vizazi na vizazi.

Upinzani mbele kwa mbele.
 
Mara baada ya mkutano mkuu wa ccm uliofanyika dodoma, waziri mkuu hayupo ofisini, kuna tetesi toka kwa watendaji wa ofisi ya waziri mkuu wakidai kuwa mh. Pinda amesusa ofisi kutokana na kukatwa jina lake katika harakati za kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa ccm.

Baada ya kukatwa na "Kitengo" kuashiria kuwa hana maadili unadhani atakuwa na moral authority ya kiutendaji tena kweli! Yaani kwa maadili kapitwa na naibu waziri Makamba halafu atamwongozaje? Mungu atuepushe lisitokee la kutokea linalohitaji maamuzi mazito ya pamoja kwani kwa sasa ombwe ni kubwa kuliko wakati wowote!
 
Back
Top Bottom