Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

Status
Not open for further replies.
Huwezi kuwa unakunywa viroba na john walker kila siku halafu macho yaone.

Umenichekesha sana wewe dubu, watu wenye pesa hawanywi viroba, john walker sawa. Mmeamua kumfanya Lowassa kuwa JF super star kwa kuandikwa mara nyingi zaidi ya mtu yeyote. Ondoeni hofu, Lowassa hana mpango wa kugombea urais ila mtu wake lazima awe rais, hapo sasa kumjua ni nani kazi kwenu.
 
Kama ni kweli namtakia ahueni mungu amponyeshe haraka na aendelee na shughuli zake kama kawaida

Binadamu ukiona mwenzio anaumwa kafiwa au anata tizo fulani haki zetu ni kumtakia ahueni na kumuombea dua

Anaeweza kuukumu ni mungu kama wewe mungu basi toa hiyo hukumu yako

 
pole MH RAIS KIPENZI CHA WENGI WA WATANZANAI KIONGOZI MWENYE HAIBA
 
Pole kwa kuugua, japo najua hapa JF Unaugua na wengi.
 
Mkuu matola amesahjibu post number 24 sasa tumsubiri pasco wa jf.
Unajuwa Mkuu Ngongo ame nimislead, mimi sio mfuasi wa Lowasa na wala siwezi kuipigia kura CCM over my dead body, ila nimeamuwa kujipambanunuwa kwamba siko tayari tena kulishwa sumu ya kumchukia Lowasa wakati hakuna alilofanya Lowasa ambalo JK halijui au hawakushirikiana, siko tayari kuwa mnafki wa viwango hivi, tukitaka hukumu ya haki tuwatenge wote JK na Lowasa.

lakini ni kwa nini tumsakame tu mtu mmoja kila kukicha huku mtuhumiwa mwingine anapigiwa saluti na kukenuwa meno tu? na ukithubutu kumgusa tu basi utawasikia Bakwata na Shura ya Maimamu eti JK anachukiwa kutokana na uislamu wake!!
Bado naamini kuna watu wanataka kuturithisha chuki zao na maugomvi yao kwa Taifa zima, mimi nimestuka, swali ile Richmond sasa hivi inaitwa Symbion Power na ni mali ya kina Hilary Clinton je umewahi kusikia mnafki yeyote akihoji mkataba huo? maana kama mkataba wa Dowans ni haramu basi hata huu wa Symbion Power ni haramu vilevile.
 
Naona zile laana za WASHIHI Kule Meru sasa badala ya kwenda kwa Lema sasa zimegeuka!
 
lowasa ni mbishi sana na anapenda kufanya kile anachokijua na kuamini pasipo kusikiliza wataalamu...huyu bwana alipatwa na mild stroke mwaka jana mwanzoni...alikwenda malysia kwa ajili ya matibabu. alipatiwa matibabu na mpaka mda huu anatumia dawa kutoka huko ....ukiwa karibu na lowasa na ukimwangalia vizuri mikono yake huwa inatetemeka....uso wake hauko katika hali ya kawaida....tatizo la huyu jamaa ni ubishi ...alikatazwa kutokunywa hiyo pombe anayotumia(remmy-martin)lakini hasikii....
 
Lowassa ni mstaafu? wakiitwa mawaziri wakuu wastaafu naye ataenda?
 
Umenichekesha sana wewe dubu, watu wenye pesa hawanywi viroba, john walker sawa. Mmeamua kumfanya Lowassa kuwa JF super star kwa kuandikwa mara nyingi zaidi ya mtu yeyote. Ondoeni hofu, Lowassa hana mpango wa kugombea urais ila mtu wake lazima awe rais, hapo sasa kumjua ni nani kazi kwenu.

mkuu umesema kitu cha ndani sana, tatizo wengi wa wapiga kelele ukweli hawako wala hawajui siasa. Edo will rule even if he will not be a president!
 
Ngoja nimtafute Freddy pale Milton Keynes au Central London (kwenye nyumba yake iliyoleta balaa) anipe habari za mzee.
 
Yote tisa kumi mtaamini kama duwa la kuku alimpati mwewe siku ya Fund rising ya kanisa katoliki pale Diamond Jubelee, hapo ndio mtakiona kidume jinsi kilivyo na afya njema.
Jamani tukumbuke maradhi huwa yanatuzoea malofa kama mimi na sio mataycoon, ukiwa na pesa ugonjwa wenyewe unakuogopa. Forget about Lowasa atawasababishia vidonda vya tumbo bure!!

'ukiwa na pesa ugonjwa unakuogopa'....alleluya! Amen.
 
'ukiwa na pesa ugonjwa unakuogopa'....alleluya! Amen.
Kama ulikuwa ulijui hilo wewe tembelea mahospitalini utaona msururu wa malofa kila siku wanahitaji matibabu. Unadhani ni kwa nini USA chama cha Republican kilikuwa kinapinga sera ya Obama ya Bima ya afya kwa wote?
 
Ee mwenyezi Mungu, watanzania wanakuomba umjaalie afya njema EL.
 
Hakika hizi habari kwangu zinanifurahisha mno, ningekuwa na uwezo ningemwongezea ya kumpofusha kabisaaaa. Amekuwa ni tatizo nchi hii. Naomba pia hilo gonjwa amrithishe na Freddy pia.

Japo mie sio shabiki wa EL, chuki chuki yako kwa huyu mtu imepitiliza!
 
Kagame vyote hivyo hana. Kwa hiyo kumfananisha mamvi na Kagame ni sawa na kufananisha mtu mzima na mgonjwa alie ICU
au sawa na kinyesi cha mtu na cha ng'ombe ! Cha mtu utaambulia kipindupindu cha ng'ombe, mchicha unanawiri !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom