Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

Status
Not open for further replies.
Ee mwenyezi Mungu, watanzania wanakuomba umjaalie afya njema EL.
M'Mungu huyu mtu anawapa takrima watu wako ! Muonyeshe mja huyu kwako hazifiki. Muongezee mitihani itakayomfanya akukumbuke !
 
Wengine tunaota mchana mchana...miaka mitatu si mingi sana lakini pia si haba. Kitu chochote kinaweza kutokea.
 
Awahi Apollo akasalimiane na Mwakyembe. Aishiye kwa upanga atakufa kwao. God is always great. Atampa stahiki yake. By the way Lowassa siyo mstaafu bali mtimuliwa.
 
Kwa taarifa nilizo nazo waziri mkuu mstaafu Edward Lowasa ni mgonjwa!
anasumbuliwa na "strok" iliyoambatana na macho kutokuona!

stay tunned!!!!!!

Hii mbona ni muda mrefu sana,Lowassa is sick ndio maana tunaomfahamu tunashangaa hata kumuona akihangaika majukwaani,ni wapambe wake ndio wanamtumia bila huruma wao kwao punda afe lakini mzigo ufike,watu wabaya sana hao.Bahati mbaya sana katika wapambe wake yumo mwanae ambae anapenda pesa kuliko afya ya mzee wake....
 
mkuu umesema kitu cha ndani sana, tatizo wengi wa wapiga kelele ukweli hawako wala hawajui siasa. Edo will rule even if he will not be a president!
Kuna watu wanapeeenda, harusi ya mbwa !
 
pia anaumwa ugonjwa wa grey hair.
wataalamu wanasema unawapata watu.....
 
mbona hii yote ni uzushi? Lo Hasa mbona mzima, hata jana nilikuwa naye tukipanga mikakati ya kumsafisha.
 
Unajuwa Mkuu Ngongo ame nimislead, mimi sio mfuasi wa Lowasa na wala siwezi kuipigia kura CCM over my dead body, ila nimeamuwa kujipambanunuwa kwamba siko tayari tena kulishwa sumu ya kumchukia Lowasa wakati hakuna alilofanya Lowasa ambalo JK halijui au hawakushirikiana, siko tayari kuwa mnafki wa viwango hivi, tukitaka hukumu ya haki tuwatenge wote JK na Lowasa.

lakini ni kwa nini tumsakame tu mtu mmoja kila kukicha huku mtuhumiwa mwingine anapigiwa saluti na kukenuwa meno tu? na ukithubutu kumgusa tu basi utawasikia Bakwata na Shura ya Maimamu eti JK anachukiwa kutokana na uislamu wake!!
Bado naamini kuna watu wanataka kuturithisha chuki zao na maugomvi yao kwa Taifa zima, mimi nimestuka, swali ile Richmond sasa hivi inaitwa Symbion Power na ni mali ya kina Hilary Clinton je umewahi kusikia mnafki yeyote akihoji mkataba huo? maana kama mkataba wa Dowans ni haramu basi hata huu wa Symbion Power ni haramu vilevile.

Unachanganya mambo,kipenzi cha bakwata ni lowassa wala sio jk ....lowassa siku hizi ndio anaalikwa kwenye maulid zinazoandaliwa na bakwata kutokana na uswahiba wake na mufti simba ambae pia ni mganga wake anaempatia "ulinzi"
 
Hakika hizi habari kwangu zinanifurahisha mno, ningekuwa na uwezo ningemwongezea ya kumpofusha kabisaaaa. Amekuwa ni tatizo nchi hii. Naomba pia hilo gonjwa amrithishe na Freddy pia.
Shindwa kwa jina la Yesu! Mimi simuwazii huyu jamaa nafasi yoyote ya uongozi na nna maswali mengi juu ya iadilifu wake, lakini siwezi kumwombea mabaya hata siku moja. Kama yeye ni mbaya kihivyo tumwache Mungu atashughulika naye na tukatae yale anayofanya kumstahilisha ubaya huo lakini si kumtakia ugonjwa
 
Waziri mkuu Mstaafu
Sahihisho, siyo Mstaafu bali aliyejiuzuru achaneni na tabia mbaya ya kujitenga makusudi na weledi. Ni tabia ya makanjanja wengi wa bongo wanaopewa vijisenti ili kuongea wanayoambiwa kuongea
Ohhhh our president, unajua Lowasa ni Kagame type. Mungu amzidishie uhai na amponye ugonjwa huo

Mlimchagua lini? Au umekariri sentensi tu mkuu? What goes around comes around!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa macho tu ya kuangalia na anavyo tembea anaonekana kajichokea anaomba Mungu afike 2015
 
lowasa ni mbishi sana na anapenda kufanya kile anachokijua na kuamini pasipo kusikiliza wataalamu...huyu bwana alipatwa na mild stroke mwaka jana mwanzoni...alikwenda malysia kwa ajili ya matibabu. alipatiwa matibabu na mpaka mda huu anatumia dawa kutoka huko ....ukiwa karibu na lowasa na ukimwangalia vizuri mikono yake huwa inatetemeka....uso wake hauko katika hali ya kawaida....tatizo la huyu jamaa ni ubishi ...alikatazwa kutokunywa hiyo pombe anayotumia(remmy-martin)lakini hasikii....

Vuvuzela la Nape analompulizia masikioni mzee kila sasa akimkubusha habari asiyopenda kuisikia ya kujivua gamba ndilo linalomfanya awe mlevi wa kupindua kuondoa mawazo;Nape anamnyima raha sana mzee kwa vuvuzela analolipuliza bila kukoma,wamemshitaki kwenye vikao vyote vya chama lakini haachi vuvuzela lake kila napokwenda liko mkononi analipuliza tuu,hata ungekua wewe sauti ya vuvuzela inakereketa bwana tuache utani...Nape nae ni mmoja wa wanaochangia kuzorota kwa afya ya mzee..
 
mkuu umesema kitu cha ndani sana, tatizo wengi wa wapiga kelele ukweli hawako wala hawajui siasa. Edo will rule even if he will not be a president!

kweli nimeamini lowassa ana wapambe watiifu sana kupata kutokea duniani,yani hata mkiona yale mliokuwa mkiamini yatatokea kutokana nguvu mlizodai anazo mkiona hayatokei na wala hakuna dalili za kutokea mnaanza kuweka akiba ya maneno ili tu hata yasipotokea mje mseme tulisema sio lazima awe yeye hata 'mtu' wake....mna tabu sana nyie na huyu mwanaume wenu wa shoka aisee
 
Yote tisa kumi mtaamini kama duwa la kuku alimpati mwewe siku ya Fund rising ya kanisa katoliki pale Diamond Jubelee, hapo ndio mtakiona kidume jinsi kilivyo na afya njema.
Jamani tukumbuke maradhi huwa yanatuzoea malofa kama mimi na sio mataycoon, ukiwa na pesa ugonjwa wenyewe unakuogopa. Forget about Lowasa atawasababishia vidonda vya tumbo bure!!

kuonekana kwenye fund rising haitamaanisha kwamba afya yake imetengemaa,ugonjwa alionao ni mkubwa sana, wewe siku hiyo kama utakuwepo pale jitahidi umsogelee karibu then umtazame vizuri usoni uone alivyopoteza nuru halafu muangalie mikononi,mi sidhani hata kama anaweza kushika pen kuandika yule mzee;kama atafanikiwa kuwa rais(mungu apishie mbali)walipa kodi tujiandae kugharamia uchaguzi mwingine wa rais kama katiba inasema rais akiondoka madarakani kwa sababu yeyote ile ni lazima ufanyike uchaguzi wa kuziba nafasi yake otherwise kama wewe ni mpambe wake ukaroge popote duniani uwe mgombea wake mwenza ili,wewe ndio utakua rais wetu,jamaa "ataondoka" madarakani mapema tu baada ya kuchaguliwa na wewe utakalia kiti chake..chukueni idea hiyo.
 
Hii ni habari mbaya sana sidhani kama Mheshimiwa Pasco na Matola watakubaliana na hii hali.

Itabidi wakubalishwe kwa kuwa ndio hali halisi japo hawapendi kuisikia hasa wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu wa ccm huku kukiwa na kibano cha yeye na wengine kuchagua kati ya ujumbe wa nec ama ubunge.
 
Kagame vyote hivyo hana. Kwa hiyo kumfananisha mamvi na Kagame ni sawa na kufananisha mtu mzima na mgonjwa alie ICU

anaweza kufanana na kagame kwa jambo moja tu labda;la kutopenda kukosolewa wala kuandikwa vibaya,hapo yeye naye ni kama kagame hawana uvumilivu,watu wa aina ya kubenea na mtikila watafute pa kwenda kama lowassa huu ugonjwa hautomuondoa na (mungu apishie mbali) akafanikiwa kuwa rais.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom