Waziri mkuu mstaafu ni mgonjwa!

Status
Not open for further replies.
Takukuru Arumeru wawe na huruma na wastaafu.walichofanya ni kizuri lakini since mpokeaji na mtoaji wa rushwa wote mazi ga nyanza,basi lazima stroke ipatikane
 
ugua pole mheshimiwa mmbunge.
hivi huyu mh ni mstaafu au alijiuzulu? hebu mpeni jina na cheo kinacho mstaili.
MUNGU AMPONYE ILI AENDELEE KUPAMBANA NA MAFISADI
 
Revenge ya mwakyyembe ndo imeanza hivyo! mwaka huu tutashuhudia mengi!
 
Shindwa kwa jina la Yesu! Mimi simuwazii huyu jamaa nafasi yoyote ya uongozi na nna maswali mengi juu ya iadilifu wake, lakini siwezi kumwombea mabaya hata siku moja. Kama yeye ni mbaya kihivyo tumwache Mungu atashughulika naye na tukatae yale anayofanya kumstahilisha ubaya huo lakini si kumtakia ugonjwa

We Mkulima wa Kuku, mimi si mfuasi wa huyo niliyemwekea nyekundu. Kaa na mapenzi yako na Lowasa, akipona mkaribishe nyumbani kwako na mkeo ampikie chai na ubwabwa.
 
Nimecheka mbavu sina, dah u made ma day happy
Ngoja tusubiri yatakayosemwa, mimi niliuliza kwenye thread moja hivi, huyu ndg namuona kama mgonjwa hivi, anaumwa nini hata sikujibiwa

Tayari, kalishwa sumu!!! Au wamemuendea nigeria? Yatasemwa mengi
 
Ati yuko wapi? Takukuru wanamtafuta anatuhumiwa kutuma SMS kwa vijana wake wakatoe rushwa kule Arumeru Mashariki mtu ashinde kura za maoni. Kijana wake muhimu sana yuko rokapu!
 
Kama ni kweli, yale ya NEC na kuonyesha kuutaka urais 2015 yana anza kumtokea puani.
 
We Mkulima wa Kuku, mimi si mfuasi wa huyo niliyemwekea nyekundu. Kaa na mapenzi yako na Lowasa, akipona mkaribishe nyumbani kwako na mkeo ampikie chai na ubwabwa.

Siku hiyo akikaribishwa ataongozana na yule mkurugenzi wa kampeni kule kwa yule aliyekuwa mbunge RA. Anaitwa Mwi......... ndo mtaalamu wa wake za watu bhana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom