Yeye hana nia ya Urais. Nia yake hasa ni kusafisha jina lake na kuweka mtu wake. Kweli ni mgonjwa kwa muda sasa.
Anapiga wine sana kuanzia saa za asubhui.
mbaya zaidi macho hayaoni sijui naye watakuwa wame mmwakyembe!
Hii ni habari mbaya sana sidhani kama Mheshimiwa Pasco na Matola watakubaliana na hii hali.
Jamani hayo si ni matatizo ya kawaida kwa umri alionao? Atapona tu. Get well Soon EL
Huwezi kuwa unakunywa viroba na john walker kila siku halafu macho yaone.
Yote tisa kumi mtaamini kama duwa la kuku alimpati mwewe siku ya Fund rising ya kanisa katoliki pale Diamond Jubelee, hapo ndio mtakiona kidume jinsi kilivyo na afya njema.
Jamani tukumbuke maradhi huwa yanatuzoea malofa kama mimi na sio mataycoon, ukiwa na pesa ugonjwa wenyewe unakuogopa. Forget about Lowasa atawasababishia vidonda vya tumbo bure!!