Kama Sumaye anachukia ukandamizaji wa CCM na dhamira yake ilikuwa kumkomboa mtanzania basi itajulikana.
Kama Chadema amegundua sio chama stahili kwake sio jambo baya kuondoka, lakini kwa MTU makini lazima anaondoka na kwenda kwenye chama cha kutimiza dhamira yake ya kukomboa. Hivyo akijiunga na ACT au NCCR au LND nk tutaona anadhamira ya kweli.
Kurudi ccm kama wengine walio meza kauli zao binafsi nitamdharau sana maana ccm haijabadilika hivyo kauli zake zilikuwa UONGO MTUPU.
Mtu aliyefikia ngazi yake kutangazwa rasmi kuwa ni muongo no fedheha kubwa sana, na sidhani Sumaye anaenda kuwa hivyo.