Kwani wewe ulipo huko sukari bado iko bei juu? Sisi huku tunanuna Tzs 2,300 - 2,500.Sarakasi kama hizi zilichezwa wakati wa sukari na hazikufanikiwa. Sasa hivi zitafanikiwa?
Kwani wewe ulipo huko sukari bado iko bei juu? Sisi huku tunanuna Tzs 2,300 - 2,500.Sarakasi kama hizi zilichezwa wakati wa sukari na hazikufanikiwa. Sasa hivi zitafanikiwa?
Jiandae kupigwa uhujumu uchumi na money launderingPM sijui kama anatambua kuwa ktk kufanya biashara kuna suala la "warehousing" ambalo lipo halali kabisa kisheria. Kuhifadhi bidhaa kwa muda kwa matarajio ya kupata faida baadaye kutokana na "seasonal availability of goods at the market" ni mojawapo ya "speculative motive" ya mfanyabiashara kutengeneza faida ya uhakika....
Aisee! Mwaka huu mwanzoni huku kwetu tulikuwa tunanunua dumu 56k, ikapanda taratibu hadi 75k kufikia mwezi wa 6. Nikaona isiwe tabu, nikaachana na biashara hiyoMwambieni aitishe kikao kingine, dumu la mafuta ya kula liter 20 bei ya leo ni shilling 80,000/=
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Wakishawashtaki ndio tutapata saruji?Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka.
Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika operesheni hiyo.
Source EATV
Maendeleo hayana vyama!
Hivi mtu kama karundika cement yake unaanzaje kumkamata? Why not flood the market with lots of cement ili “aliyeficha” kama yupo ajione mjinga?
Hizi efforts zinapaswa kupelekwa huko cement inakozalishwa. Tunazima moto sana sisi
Unapigwa mafuta lita tano hapo juzi tu kabla ya uchaguzi yalkua Yanauzwa 17,000/=tshBei ya zamani sh ngapi?
Mimi huwa nanunua liter 5 za mafuta ya Sundrop kwa tsh 23,000
Sahivi ni tshs 19,000/=<lakini inategemea na sehemuUnapigwa mafuta lita tano hapo juzi tu kabla ya uchaguzi yalkua Yanauzwa 17,000/=tsh
That is it. Shida ipo huko cement inapozalishwa. Huwezi kutatua shida hii kwa kudeal na mtu mmojamoja. Hakuna mtu anaweza “kuficha” cement kama soko lipo saturated na mzigo wa kutoshaKila siku nampigia wakala simu anasema bado wazo kuna foleni.Sasa cement umeenda wapi?
Kama viwanda vimezidiwa na mahitaji.
Mkuu,Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka.
Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika operesheni hiyo.
Source EATV
Maendeleo hayana vyama!
Unatuletea mambo ya mwaka 47 mkuu? Cement ipo ya kutosha ila wahuni fulani wanataka wapate faida kubwa kama ambavyo walitaka kufanya kwenye sukari lakini wakanyooshwa na hawa watanyooshwa tu hawa wahuni.Baada ya vita mwaka 1979 serikali ya wakati huo ilijaribu mbinu hizi za kijinga kutaka kudhibiti bidhaa zisitoweke sokoni lkn waligonga mwamba vibaya.
Bidhaa ikiadimika ina maana iko kwenye short supply na moja kwa moja bei lazima ipande na ukilazimisha isipande ni sawa na kumlazimisha mama aliyefika kujifungua asijifungue wakati muda umefika. Majaliwa ni sharti afahamu kuwa hamna uchawi hapo.
Sasa hapa kazi ipo ,maana wasije kuta nimeweka mifuko yangu elfu moja ambayo ilishalipiwa na mteja lakini bado kufika chukua mzigo wake mkanipa kesi, hapo kwa kweli mkinipa kesi na mh pm anidhaminiWaziri mkuu mh Majaliwa amefanya mkutano na wakuu wa mikoa wote kwa njia ya video na kuwaagiza wakague maghala ya mawakala wa saruji na wakiwakuta wamerundika mzigo wa cement wawakamate na kuwafungulia mashtaka.
Mh Majaliwa amezitaka kamati za ulinzi na usalama katika mikoa yote kuhusika katika operesheni hiyo.
Source EATV
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu jaribu kutumia akili zako vizuri kwanza. Usilinganishe mkulima wa mazao na mfanyabiasha. Mfanyabiashara ana leseni ya biashara iliyo na masharti wakati mkulima hana leseni hivyo hakuna masharti yanayombana!Maajabu haya! Tunatumia nguvu nyingi kwa mambo yanayohitaji akili tu. Ninunue mzigo wangu nitunze halafu iwe kesi?!
Je kama nataka kujenga safina? Je kama bei iliyopo sokoni ni ya hasara nilazimishwe kufilisika?! Sijui nchi zingine wanafanya vipi.
Njooni vijijini huku sass watu wametunza magunia kibao ya mpunga. Wayatoe ili tununue mchele sh.200/- kwa kg
Una uhakika wote waliotunza mpunga ni wakulima, au hujaishirikisha akili?Mkuu jaribu kutumia akili zako vizuri kwanza. Usilinganishe mkulima wa mazao na mfanyabiasha. Mfanyabiashara ana leseni ya biashara iliyo na masharti wakati mkulima hana leseni hivyo hakuna masharti yanayombana!
Kwenye comment umesema vijijini na vijijini kuna wakulima mkuu! Hawana leseni za biashara.Una uhakika wote waliotunza mpunga ni wakulima, au hujaishirikisha akili?
Hivi mtu huwa anaficha bidhaa kwenye "ghala" lake? Je awalazimishe wanunuzi kumaliza mzigo alionao?Hivi mtu kama karundika cement yake unaanzaje kumkamata? Why not flood the market with lots of cement ili “aliyeficha” kama yupo ajione mjinga?
Hizi efforts zinapaswa kupelekwa huko cement inakozalishwa. Tunazima moto sana sisi
Sasa wasukari waliponyooshwa vp bei ilishuka??Serikali ikitaka vitu viwe NAFUU si itengeneze na kuuza yenyewe??Unatuletea mambo ya mwaka 47 mkuu? Cement ipo ya kutosha ila wahuni fulani wanataka wapate faida kubwa kama ambavyo walitaka kufanya kwenye sukari lakini wakanyooshwa na hawa watanyooshwa tu hawa wahuni.