Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Afadhali waturudishie Fast Jet yetu walio ifanyia figisu
 
Kwakweli jiwe katuwachia wakati mgumu.
 
Utakapokuwa utaelewa faida yake 😜!
 
..naamini serikali yetu inaweza ku-negotiate jinsi ya kujinasua toka kwenye mkataba wa manunuzi ya ndege mpya.

..huwezi kukosa nchi au shirika la ndege ambao wangependelea kuzipata ndege hizo haraka kuliko kusubiri.

NB:

..rwanda wamepata hasara mfululizo tangu waanzishe shirika la ndege na sasa wameamua kuingia ubia na Qatar Airways.
 
Hizi ndege ni za kutambikia? Hizi tulizo nazo hazijapata route za kutosha bado tu tunanunua nyingine? Hiyo hela kajenge mabwawa ya umwagiliaji tupambane na adui njaa!
 
Hizi ndege ni za kutambikia? Hizi tulizo nazo hazijapata route za kutosha bado tu tunanunua nyingine? Hiyo hela kajenge mabwawa ya umwagiliaji tupambane na adui njaa!
Mkubwa hakosei.

Hata akijamba ukisema hapa Baba kajamba ushuzi unanuka utaambiwa pua yako ina matatizo, hiyo ni harufu ya marashi mazuri ya Versace.
 
Safi sana Mzalendo mwenzetu hgo Majaliwa GO.
 
Siku hizi hata mambo ya uchumi unaweza kusoma kwenye mitandao. Usiwe mvibu
 
Siku hizi hata mambo ya uchumi unaweza kusoma kwenye mitandao. Usiwe mvibu
Uvivu wangu nini? Mimi nimesoma uchumi shuleni kabla ya mitandao kwa hiyo hizo habari za kusomea mitandaoni tu kawaambie hao walio fungu la kajamba nani.

Argue, do not shout.

Weka hoja hapa useme hoja yako ni ipi.

Acha kelele.
 
Ku cancel order utalipa fidia kubwa ni bora hata uchukue hizo ndege.....
jambo la pili hakuna biashara isiyo na changamoto kwenye biashara hasara ni part of the gem......
au ww kula kulala hujui kitu!!!?
Kupata hasara mara moja kwa ATCL sio tatizo, tatizo ni kwamba ATCL ilishapata hasara kwa miaka yote mitano mfululizo, na mwenendo ni kuendelea kupata hasara milele unless mwelekeo wake kiundeshaji.

Tatizo la ATCL sio upungufu wa ndege, tatizo ni muundo na uendeshaji wenye hasara tupu. Hivyo tusitegemee kamwe hizi ndege zitageuka na kuzalisha faida.

All in all nyingi kati ya ndege za ATCL muda mwingi huwa zimepaki tu, haziruki popote, maana biashara hakuna.
 
Ndege nyingi wapandaji kidogo. Kwa vile zishanunuliwa, basi nashauri watumie business model ya low cost carriers.
 
Huyu PM kazoeakutudanganya, anasema malipo yamekamilika na ndege zitafika 2021/22. Nini sababu ya kuchelewa kufika hapa Tanzania? Ana uhakika gani zikiendelea kuwa huko hazitobadirishiwa spare na tukajikuta tunapokea ndege za mtumba?
 
Ukishadanganya nchi kutoka msikitini, kusema rais ni mzima anachapa kazi Ikulu, wakati rais ni mgonjwa karibu na kufa, hata ukisema kweli watu wataona kama unawadanganya tu.
 
Ukishadanganya nchi kutoka msikitini, kusema rais ni mzima anachapa kazi Ikulu, wakati rais ni mgonjwa karibu na kufa, hata ukisema kweli watu wataona kama unawadanganya tu.
Ukweli huyu PM anahitaji kuvumiliwa sana hasa kipindi hiki Cha mpito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…