Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali imekamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu

Unanunua midege kwa cash huku hela ya kununua dawa huna na hizo ndege zikupe faida sasa mapema hakuna...tunahitaji miaka 20 kuanza kuona other econimic benefits ya hizi ndege suala la direct financial profit kwa Africa tusahau labda miaka 200 ijayo...
Afadhali waturudishie Fast Jet yetu walio ifanyia figisu
 
Changamoto ni kwamba process za ununuzi wa ndege ni za tofauti kidogo. Ununuzi wa ndege mchakato wake ni kwa njia ya order i.e unaweka order mnaingia makubaliano na Kampuni ndipo inatengenezwa ndege kulingana na makubaliano yenu . Order ya ndege tatu anazosemea PM sio Order ya awamu ya sita Hii ni order ya Meko na utekelezaji wa order hizi upo katika final stages, kwani fedha nyingi zimeshalipwa tayari. Hivyo serikali haina namna ya kukataa order Hii kwan gharama ya order cancellation ni burden kubwa zaidi. In fact Ni hasara mpya inakuja Tukutane na CAG mwakani kujua ni bilioni ngapi zimeteketea!!
Kwakweli jiwe katuwachia wakati mgumu.
 
Habarini ndug,

Katika makadirio ya bajeti ya mwaka 2021/2022 serikali imeliomba bunge liidhinishe shilingi bilioni 500 kwa ajili ya ununuzi wa ndege mpya.

Naomba nipewe mrejesho, km kweli bunge limeidhinisha hiyo pesa. Maana huo, utakua ni ubadhirifu wa fedha za umma
Utakapokuwa utaelewa faida yake 😜!
 
Changamoto ni kwamba process za ununuzi wa ndege ni za tofauti kidogo. Ununuzi wa ndege mchakato wake ni kwa njia ya order i.e unaweka order mnaingia makubaliano na Kampuni ndipo inatengenezwa ndege kulingana na makubaliano yenu . Order ya ndege tatu anazosemea PM sio Order ya awamu ya sita Hii ni order ya Meko na utekelezaji wa order hizi upo katika final stages, kwani fedha nyingi zimeshalipwa tayari. Hivyo serikali haina namna ya kukataa order Hii kwan gharama ya order cancellation ni burden kubwa zaidi. In fact Ni hasara mpya inakuja Tukutane na CAG mwakani kujua ni bilioni ngapi zimeteketea!!

..naamini serikali yetu inaweza ku-negotiate jinsi ya kujinasua toka kwenye mkataba wa manunuzi ya ndege mpya.

..huwezi kukosa nchi au shirika la ndege ambao wangependelea kuzipata ndege hizo haraka kuliko kusubiri.

NB:

..rwanda wamepata hasara mfululizo tangu waanzishe shirika la ndege na sasa wameamua kuingia ubia na Qatar Airways.
 
Hizi ndege ni za kutambikia? Hizi tulizo nazo hazijapata route za kutosha bado tu tunanunua nyingine? Hiyo hela kajenge mabwawa ya umwagiliaji tupambane na adui njaa!
 
Hizi ndege ni za kutambikia? Hizi tulizo nazo hazijapata route za kutosha bado tu tunanunua nyingine? Hiyo hela kajenge mabwawa ya umwagiliaji tupambane na adui njaa!
Mkubwa hakosei.

Hata akijamba ukisema hapa Baba kajamba ushuzi unanuka utaambiwa pua yako ina matatizo, hiyo ni harufu ya marashi mazuri ya Versace.
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu yamekamilika, na zinatarajiwa kuwasili mwaka 2021/22.

Akiwa Bungeni Dodoma leo, Waziri Mkuu amesema ununuzi huo utawezesha Serikali kuwa na jumla ya Ndege 12. Aidha, amesema kuanzishwa kwa safari za Guangzhou (China) kutakuwa chachu ya kuimarisha Biashara, Utalii na Ajira.

Vilevile, Majaliwa amesema ujenzi na upanuzi wa Viwanja vya Ndege vya Shinyanga, Kigoma, Tabora na Sumbawanga vitakavyogharimu Tsh. Bilioni 176 unaendelea.

Safi sana Mzalendo mwenzetu hgo Majaliwa GO.
 
Habari nzima ya kuongeza kununua ndege wakati zilizopo zinaleta hasara na hatuna business plan inayoeleweka kubadili biashara ni sawa na kusema hatuna jinsi hili kaburi tushaanza kujichimbia, tumefikia nusu, ni bora tumalize tu kuchimba lote tuzikwe.

This is what psychologists call "cognitive dissonance".

Yani unataka kwenda Kariakoo kwa njia fupi kabisa, umetoka Mwenge, unaelekea Mbezi kaskazini uelekeo tofauti na wa Kariakoo.

Unafika Africana, unaanza kustuka huku ninakoenda si Kariakoo.

Lakini unasema nishakwenda mbali sana, ngoja niendelee huko mbele Tegeta mpaka Bagamoyo labda kuna shortcut ya kunifikisha Kariakoo haraka.

Unaendelea kwenda kaskazini, muelekeo tofauti na Kariakoo, kwani Kariakoo iko kusini kwako.

Serikali ilitakiwa ijitoe kwenye biashara ya usafiri wa ndege na kujikita katika kujenga viwanja vya ndege na kukusanya kodi.

Kwa kuongeza idadi ya ndege bila ya business plan ya kueleweka, kitakachotokea ni ile hasara tuliyopata mpaka sasa tunaenda kuiongeza.

It's just simple common sense.
Siku hizi hata mambo ya uchumi unaweza kusoma kwenye mitandao. Usiwe mvibu
 
Siku hizi hata mambo ya uchumi unaweza kusoma kwenye mitandao. Usiwe mvibu
Uvivu wangu nini? Mimi nimesoma uchumi shuleni kabla ya mitandao kwa hiyo hizo habari za kusomea mitandaoni tu kawaambie hao walio fungu la kajamba nani.

Argue, do not shout.

Weka hoja hapa useme hoja yako ni ipi.

Acha kelele.
 
Ku cancel order utalipa fidia kubwa ni bora hata uchukue hizo ndege.....
jambo la pili hakuna biashara isiyo na changamoto kwenye biashara hasara ni part of the gem......
au ww kula kulala hujui kitu!!!?
Kupata hasara mara moja kwa ATCL sio tatizo, tatizo ni kwamba ATCL ilishapata hasara kwa miaka yote mitano mfululizo, na mwenendo ni kuendelea kupata hasara milele unless mwelekeo wake kiundeshaji.

Tatizo la ATCL sio upungufu wa ndege, tatizo ni muundo na uendeshaji wenye hasara tupu. Hivyo tusitegemee kamwe hizi ndege zitageuka na kuzalisha faida.

All in all nyingi kati ya ndege za ATCL muda mwingi huwa zimepaki tu, haziruki popote, maana biashara hakuna.
 
Ndege nyingi wapandaji kidogo. Kwa vile zishanunuliwa, basi nashauri watumie business model ya low cost carriers.
 
Huyu PM kazoeakutudanganya, anasema malipo yamekamilika na ndege zitafika 2021/22. Nini sababu ya kuchelewa kufika hapa Tanzania? Ana uhakika gani zikiendelea kuwa huko hazitobadirishiwa spare na tukajikuta tunapokea ndege za mtumba?
 
Ukishadanganya nchi kutoka msikitini, kusema rais ni mzima anachapa kazi Ikulu, wakati rais ni mgonjwa karibu na kufa, hata ukisema kweli watu wataona kama unawadanganya tu.
 
Ukishadanganya nchi kutoka msikitini, kusema rais ni mzima anachapa kazi Ikulu, wakati rais ni mgonjwa karibu na kufa, hata ukisema kweli watu wataona kama unawadanganya tu.
Ukweli huyu PM anahitaji kuvumiliwa sana hasa kipindi hiki Cha mpito
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom