chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 19,689
- 22,703
Habari wanaBodi,.
Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.
Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.
Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.
My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.
Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.