Waziri Mkuu Majaliwa: Marufuku kwa watu ama taasisi binafsi kuchapisha vitabu vya kitaaluma

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,666
22,674
Habari wanaBodi,.

Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.

Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.

Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.

My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.

Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
 
Hivi ile inayo itwa public private partnership awamu hii imekufa?
 
Hatujui tulipo wala hatujui tunakokwenda.
Kibaya zaidi ni kuwa hatuna matamanio ni wapi tuende.
 
Hata ABBOT, LAMBERT, ROGER MUNCASTER, BANNET hawa ni watu Binafsi hawa wote ni watu binafsi, Je hatutaki kuwa na Watanzania waandishi kama hao?
Utashangaa hivyo vinaruhusiwa. Hii awamu kuna tatizo kubwa sana. Wana kila dalili za ujamaa japo ulishashindwa.
 
Habari wanaBodi,.

Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.

Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.

Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.

My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.

Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
Hili la kuchapisha vitabu vya shule limekaa sawa Mkuu. Kila mtu anachapisha kuna hatari ya kupoteza lengo la elimu
 
Duh!! Sijui kuna tatizo gani kwa hawa watawala wetu. Anyway naendelea kuunga mkono ule utafiti wa wanne mmoja ni kichaa. Kwan Mh Waziri Mkuu shule hazina mitaala? au hakuna hata silabasi? Au hujui hivi ndivyo vinavyoleta uwiano? Ok ngoja ni kubaliane na wewe halafu nikuulize swali. Je hujui kwamba dunia ya leo ina internet? Huko kuna kila kitu! Je utafanyaje ili kufanya internet nayo iwe na uwiano? Kingine kwanini usizishauri shule za serikali kutumia vitabu mnavyochapisha mpaka uingilie private sector?
 
Hii ni vile vitabu vilivyokuwa vinachapishwa kwa ajili ya Shule za msingi,yaani elimu ilibinafsishwa kiasi kwamba kila mkoa ulikuwa na vitabu tofauti.
Na Serikali ikawa haina mtaala,labda sasa haya
makosa ndiyo wanayarekebisha!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom