Waziri Mkuu Majaliwa: Marufuku kwa watu ama taasisi binafsi kuchapisha vitabu vya kitaaluma

chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,413
Likes
15,467
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,413 15,467 280
Habari wanaBodi,.

Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.

Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.

Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.

Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
 
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2008
Messages
2,832
Likes
3,303
Points
280
shungurui

shungurui

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2008
2,832 3,303 280
Labda vya primary school.
 
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
6,979
Likes
5,567
Points
280
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
6,979 5,567 280
Hapa sijamuelewa. Au kesho tutasema alinukuliwa vibaya?
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,257
Likes
1,966
Points
280
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,257 1,966 280
Habari wanaBodi,.

Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.

Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.

Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.

Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
Hivi ile inayo itwa public private partnership awamu hii imekufa?
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,338
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,338 280
Hatujui tulipo wala hatujui tunakokwenda.
Kibaya zaidi ni kuwa hatuna matamanio ni wapi tuende.
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
10,797
Likes
4,350
Points
280
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
10,797 4,350 280
Wanaogopa kimvuli ya Kiingereza
 
ArchAngel

ArchAngel

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Messages
3,626
Likes
2,785
Points
280
ArchAngel

ArchAngel

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2015
3,626 2,785 280
litakuja tamko jingine kuwa wanafunzi wa vyuo vikuu vya sarakali marufuku kuvaa casual clothing na badala yake wavae uniform ili kuleta uwiano sawa wa wanafunzi

time will tell.. [HASHTAG]#SirekaliYaMatamkoNaMakanusho[/HASHTAG]
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,367
Likes
10,015
Points
280
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,367 10,015 280
Hivi ni kweli kuna vitabu vya Shigongo vilikuwa vinatumika mashuleni?
 
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Messages
4,433
Likes
1,546
Points
280
Fundisi Muhapa

Fundisi Muhapa

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2013
4,433 1,546 280
Hata ABBOT, LAMBERT, ROGER MUNCASTER, BANNET hawa ni watu Binafsi hawa wote ni watu binafsi, Je hatutaki kuwa na Watanzania waandishi kama hao?
Utashangaa hivyo vinaruhusiwa. Hii awamu kuna tatizo kubwa sana. Wana kila dalili za ujamaa japo ulishashindwa.
 
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
4,852
Likes
5,772
Points
280
Pakawa

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
4,852 5,772 280
Habari wanaBodi,.

Hili ni tamko kutoka kwa Waziri mkuu Mh Kassim Majaliwa akiwa ziarani huko mkoani Arusha.

Anasema lengo ni kuleta uwiano sawa katika ufundishaji na uelewa kwa shule/vyuo kutumia machapisho yanayoendana/fanana.

Kwa maana hiyo Taasisi Pekee ya Elimu Tanzania ndiyo yenye mamlaka ya kuchapisha vitabu na kutumika mashuleni.My take : Naona sasa serikali inataka kubinafsisha kila kitu, Tanzania tuna waandishi wengi waliobobea katika uandishi na uchapishaji wa vitabu na vimekuwa vikitumika toka zamani.

Pili serikali naona haitaki ushindani katika suala la Elimu, hii ni hatari zaidi.
Hili la kuchapisha vitabu vya shule limekaa sawa Mkuu. Kila mtu anachapisha kuna hatari ya kupoteza lengo la elimu
 
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2015
Messages
2,108
Likes
1,399
Points
280
Y

ydn

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2015
2,108 1,399 280
Duh!! Sijui kuna tatizo gani kwa hawa watawala wetu. Anyway naendelea kuunga mkono ule utafiti wa wanne mmoja ni kichaa. Kwan Mh Waziri Mkuu shule hazina mitaala? au hakuna hata silabasi? Au hujui hivi ndivyo vinavyoleta uwiano? Ok ngoja ni kubaliane na wewe halafu nikuulize swali. Je hujui kwamba dunia ya leo ina internet? Huko kuna kila kitu! Je utafanyaje ili kufanya internet nayo iwe na uwiano? Kingine kwanini usizishauri shule za serikali kutumia vitabu mnavyochapisha mpaka uingilie private sector?
 
R

rsvp

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Messages
588
Likes
278
Points
80
R

rsvp

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2012
588 278 80
Hii ni vile vitabu vilivyokuwa vinachapishwa kwa ajili ya Shule za msingi,yaani elimu ilibinafsishwa kiasi kwamba kila mkoa ulikuwa na vitabu tofauti.
Na Serikali ikawa haina mtaala,labda sasa haya
makosa ndiyo wanayarekebisha!
 
Forum statistics

Threads 1,274,330
Members 490,664
Posts 30,508,558