rushanju
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 3,131
- 4,620
Kama kuna kitu Cha maana ambacho PM kafanya ni kuwataka hawa watu wapelekwe ndani. Kuna mratibu wa miradi huyo Edward Haule. Alikuwa mungu mtu. Hata Gondwe wakati ni DC Temeke alimfokea siku moja. Huyo Mkurugenzi nae mnajua uozo wake. Hapo ambae kaachwa ni waziri wa Tamisemi wakati huo Jaffo nae alitakiwa kutoa malezo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app